Vipaumbele vya watanzania

kilema

Member
Feb 23, 2009
59
0
Sipendi siasa na sipendi. Hii ndo nini? ....kutokuwajibika kiakili na fikra muflisi!
Inabidi ukistaafu siasa umuungamie mwenyezi mungu. Na ili toba ikubaliwe ni lazima urudishe vile uliwaibia wananchi na kuwaomba msamaha kwa dhambi zote ikiwa ni pamoja na kutokutimiza wajibu. Ndio maana wanasiasa wanaogopa kustaafu mpaka wafie kazini na dhambi zao na lazima waende jehanamu wakachomwe milele.
 

Attachments

  • WABONGO.zip
    175.2 KB · Views: 45
Back
Top Bottom