Vipaumbele vya uongozi wa jiji la Dar (UKAWA)

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,026
1. Msongamano barabarani. UKAWA wasifanye maamuzi yenye misukumo na mihemko ya kisiasa kama ile ya kupanua barabara kati ya Mwenge na Moroko. Non-brainy!

2. Uchafu unaotokana na taka. Management ya hili haihitaji hata diploma!

3. Air pollution. Make the polluter pay heavily....it'll be an effective deterrence!

4. Maji safi. Mkiweza kutatua hili hapa Dar, halafu mka-replicate kwingineko, 2020 nchi ni yenu!

5. Poor drainage. There should be a rule of thumb (punishable in case of default) applicable to every neighbourhood

6. Public recreational spots (public parks, gardens, etc) - these must be in place within the first 2-3 years

7. Noise pollution. Apply # 3 above

8. Ensure you achieve more than double revenue collection......minimise leakage of same.
 
Mkuu hata kama hoja zako hazitakubalika na wengi au zina mapungufu, naomba nikupongeze kwamba umeweka msingi wa wapi pa kuanzia na kufungua hoja za maboresho ya haya mapendekezo yako.

Wanachotaka wananchi ni huduma bora, ukiwapatia na kulitekeleza hilo hauna haja ya kusema wewe ni chama gani, ushindi ni wako tu.
 
Back
Top Bottom