Huyo mtoto alifikaje juu mpaka kuchora picha kama hyo?
safi sanaTusiwazuiwe wanapaanza kuchora wakiwa nyumbani tuwawezeshe kwa kuwanunulia vifaa na kuwaunganisha na wacharaji maarufu
Not to that extent!Kwani ghorofa refu lenye Vioo likitaka kusafishwa wale Wasafishaji kule juu mbali kote huwa wanapandishwa na nini?