Vipaji link ni Majanga hamko serious

Vipaji link ni Majanga hamko serious

mambomoto

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
326
Reaction score
236
Wadau na wasaka ajira wote nawapa Hi

Kuna hawa jamaa wanaitwa vipaji Link ambao wanajushughulisha na kuajiri on behalf of employers. Kinachonisikitisha kuhusu hawa jamaa sijui ni kutokuwa serious, au ni makusudi kwa sababu zao wanazozijua au vipi, siwaelewi.Kwanza unaweza kuitwa kwenye interview masaa machache kabla ya interview bila kujali kuwa watu wanapaswa kujiandaa. Mfano mtu anakupigia simu jioni saa anakuambia njoo kwenye interview saa tatu kesho bila kukosa. Sasa tujiulize ni watu wote wapo Dar??? Je hata kama nipo Dar ni kweli naweza kuwa tayari kiasi hicho??? Halafu anayekupigia simu utadhani kalazimishwa akuite kwenye interview. Jamani jamani tunajua kuna shida ya ajira hapa nchini lakini msitufanyie hivyo, ni vibaya
 
Mkuu wa kaya c alishazuia hizi kampuni za ajira au ilikuwa n danganya toto tuu
 
Mkuu wa kaya c alishazuia hizi kampuni za ajira au ilikuwa n danganya toto tuu

kuna jamaa alikua anasema "Hii nchi Ngumu" nikawa simuelewi. ila sasa naanza fahamu!
 
muda ni mali bwana>Unapoitwa kwenye interview nafikiri huwa unapigiwa simu,kama umeambia ufike then muda wako haukuruhusu kwaniniusiombe muda mwingine wa interview.
 
Iyo ni kweli wakuu na sio vipaji link zipo nyingine, nakumbuka kuna siku nimelala mida ya sa kumi na mbili natumiwa sms unatakiwa kwenye interview sa nne asubui kwa kweli hii tabia imekisiri sana.
 
Back
Top Bottom