nimependa style ya kipa lol
Kipa huyu hafungiki
Huyo dogo akipigwa pumbu hapo anaachia hilo goli na ndio itakuwa mwisho wake wa kudaka...
haa hiyo style kipa nimecheka mpaka machozi yametoka