rmashauri kabla hujamwita Mbonea mwongo, tembea uone.
Huu ubishi wako utachokoza mambo mengine ambayo wachungaji wako watakulamu kwa kuyachokoza.
Duniani kote sasa hivi kuna uhuni mkubwa sana unaendelea makanisani kwa sababu ya uongozi wa makanisa mengi kushikwa na watu wenye kupenda fedha na anasa za dunia.
Usitufanye tukamwaga hapa hadharani majina ya makanisa yanayotumika kuendesha biashara haramu.......naomba niishie hapo.
Ujue tu tuna mengi..yanatuumiza sana mioyo...unafiki unakera sana.
Nazima kompyuta nikae chini niugulie maumivu, halafu niamue nirudi jamvini kutoboa siri hadharani au lah!!!!!!TUNA MENGI SANA NA TENA TUNA USHAHIDI WA KUTOSHA!!!!!!!!!