si mchezo
Hahahaha hapo kabla unapika glass mbili za AMARULA!Nilivyo muoga wa hata vighorofa vinne siwezi kupanda labda waniburuze.
Na hapo nishapiga kelele na kurusha mateke na kuwang'ata mpaka basi. lol
Hahahaha hapo kabla unapika glass mbili za AMARULA!
Kama ndo kingekuwa kivuko kigambon mngefanyaje?
Nilivyo muoga wa hata vighorofa vinne siwezi kupanda labda waniburuze.
Na hapo nishapiga kelele na kurusha mateke na kuwang'ata mpaka basi. lol
Duh.. wanajiweza!