Viongozi wetu wajifunze kusema "NO" na sio "rubber stamp" kila kitu

Morani75

JF-Expert Member
Mar 1, 2007
613
19
Salaam WanaJambo wenzangu!! Nilikuwa nasoma gazeti la "TIME" la tarehe 26 November 2007 na ninakutana na article ambayo kwa kweli wabunge, na wengine waliokuwa katika nafasi za kuwatetea wananchi wanatakiwa wajifunze....

Quote:

"You can't just keep rolling over us like this"
Huyu alikuwa Barbara Boxer, U.S. Senator, after Congress dealt President Bush the first veto override of his Administration, on a $23.2 billion water-resources bill!
End of Quote
 
Back
Top Bottom