B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,800 Reaction score 4,928 Apr 30, 2023 Thread starter #21 tamuuuuu said: Watuhurumie jamani maana maisha yamekuwa magumu sanaaa. Leo hii mimi nalala njaa hapa kwa sababu ya hali kuwa ngumu. Eeee Mungu tusaidie. Click to expand... Pole sana Mkuu. Ipo siku mambo yatakuwa poa. Tuvumilie tu.
tamuuuuu said: Watuhurumie jamani maana maisha yamekuwa magumu sanaaa. Leo hii mimi nalala njaa hapa kwa sababu ya hali kuwa ngumu. Eeee Mungu tusaidie. Click to expand... Pole sana Mkuu. Ipo siku mambo yatakuwa poa. Tuvumilie tu.