See our Leaders..kwa wale hamjaiona
- Mtoto kakatwa kiganja kosa la uzembe wa wauguzi- wananchi tulieni tunafanya uchunguzi
- Watu wamekuwa vipofu - ngozi za miili zimeoza migodini kutokana na maji ya kemikali -
wananchi tulieni tunafanya uchunguzi mtajulishwa muda si mrefu.
- Waarithika wa mabomu mbagala - wananchi tulieni tunafanya uchunguzi mtajulishwa mara moja
- Tatizo la ardhi wafugaji na wakulima - wananchi tulieni hilo tunalimaliza mara moja nchi nzima
- Ajali za barabarani - wananchi hili tunalimaliza wakuu wanalishughulikia tunataka kulitokomeza
we have a long way to go - mi nimeshachoka.