Viongozi wengine Allah anawaweka madarakani kama adhabu!

mbegubora29

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
547
Reaction score
393
Naam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo.

Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea.

Maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
 
Naam,hbr wa jf,Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
Kwa kweli mola amechukia kwa mwanamke wa kislam kuwaongoza maustaadhi wazima.
 
Sio mwanamke yaan yeyote yuleee alimradi awatie madhira na dhiki ktk dunia hii ambayo umr wake wa kuishi hauzid miaka 60 ukiwa na akil timam na afya ya kutosha
 
Naam,hbr wa jf,Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
Siyo kila jambo kumsingizia Mungu, hiyo ni dalili ya kushindwa kutatua matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu. Kiongozi mzuri au mbaya ni matokeo ya maamuzi yetu.
 
Kuna nguzo ya imani inaamini kher na shar vintoka kwake na kama anatokana maamuzi yetu kwann tulaumu au we ukimpngia muumba uzaliwe na baba gan au ukoo gan si umejikuta tu lkn baba yako ndo kiongoz awe mbaya au mzur
 
Naam,hbr wa jf,Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
Kwa hiyo tunajadili mambo ya muumba wetu au mihemko yako. Toka kule, unapongea siasa acha dini za watu.
 
Dini ndo maisha kamili ya mwanadam na ndo viumbe wake na kwake ndo marejeo na hasa majibu ya maswali yetu ndo tutakapoyapatia hukoo
 
Kwa hiyo tunajadili mambo ya muumba wetu au mihemko yako. Toka kule, unapongea siasa acha dini za watu.
Sina majib ya kukutosheleza zaid toka kwa muumba wako na hta hao unaopambna nao hautawaweza kamwe kama akili iko hivyoo kwan huna uchumi wala mgambo huna ukijisogeza tu umekwisha
 
Achana na muumba. Juhudi zako ndio zitakutoa hapo ulipo na sio kuja kulalamika JF,
 
Naam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo.

Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea.

Maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
Another school of thoughts
 
Swala la dalili wala halihusiani na unayeongea naye
 
Back
Top Bottom