Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,560
1-Freeman Mbowe
2-Julias Malema
3-Dr.Kizza Besigye
Nini maoni yako juu ya siasa zao.
Tumuombe aliyeumba ardhi na mbingu azikubali dua zetu tuepukane na hizi shida tulizonazo.Mkuu kwa uwezo wa ALLAH naamini ipo siku CCM itaondoka madarakani kiulani sana