kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,610
- 23,067
Baada ya rais magufuli kuchukua nchi viongozi wetu wastaafu mzee mkapa na kikwete walikuwa wakipishana kwa siku zile za mwanzo za uongozi ,ispokuwa tu mzee mwinyi na hatujui zumuni la kwenda ikulu kila mara ilikuwa ni nini haswa,
lakini tangu baada ya hapo hatukuwaona tena wakubwa hawa kupishana ikulu ,sasa inawezekana aliwapiga marufuku au sababu ikulu haina chai ya mgeni,
Na haya yanayoendelea sasa ndani ya nch ilikuwa ni wakati muafaka ya wale wazee kwenda pale na kumshauri,
kwa mwenye taarifa zaidi atusaidie kutujuza kwanini hawa wazee wamekata mguu magogoni na walikuwa wakufuata nini.