Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019

Mbinu zenu zote za kuwachonganisha Mbowe na Slaa zimegonga mwamba sasa mmeamua kuja kwa ushauri mbuzi kama huu.

Chadema ni Msingi inaendeshwa kwa katiba na kanuni zake na sio kupangiana nafasi kama mnavyofanya huko CCM.
Ungejua aliendika makala hii ni kamanda kama cc usingemtusi kwa kumfananisha na MACC mkuu


:bored:
 
FaizaFoxy pamoja na ujanja wako wote kumbe unategemea vijumba vya kurithi,

Jiandae kujenga nyumba yako kabla hamjaanza kuuana kwa kugombea urithi.
 
Ungejua aliendika makala hii ni kamanda kama cc usingemtusi kwa kumfananisha na MACC mkuu


:bored:
Hata Kitila, Zitto na Mwigamba walikuwa makamanda wakuu wa Chadema lakini waliandika waraka wa kusaliti chama sembuse huyo kamanda wako wa facebook.
 
Kwa hiyp Faiza we una kula hivyo vinyumba na nguo unavaa hizo nyumba,hongeraa mwayaaa

AlhamduliLlah. Of course. Hujuwi kuwa leo hii Kariakoo ndio moja ya "prime location" kwa real estate Tanzania? nakula kutokana na nnavaa (na sizimalizi zinabaki kibao kufanyia vi miradi vingine) kutoka kwenye kodi ya hayo majumba, si vinyumba tena.

Moja Lumumba, moja Swahili, mbili gerezani, moja Narung'ombe mbali ya viji-asset vingine vya Ilala, Magomeni, Msasani na kwingineko. Madogo hayo? AlhamduliLlah, wazee wametuneemesha na hatuna cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea dua za kheri tu.
 
Kwa nini unwatukana binaadamu kwa kuwaita mbuzi?Hayo ndio malezi uliyokulia kwa wazazi wako?

Unaweza kuwa bidamu lakini matendo yako yakafanana na mbuzi.
 
Ndugu, maoni na mtazamo wako ni mzuri sana tatizo katika hiyo list yako sijaona hata mchaga mmoja(labda Mnyika ambaye ni mchanganyiko), hivyo kamwe usitegemee safu ya uongozi ya namna hiyo yaweza tokea CDM
 
FaizaFoxy pamoja na ujanja wako wote kumbe unategemea vijumba vya kurithi,

Jiandae kujenga nyumba yako kabla hamjaanza kuuana kwa kugombea urithi.

Tugawane leo? tumegawana miaka 20 iliyopita. Na kwanini tugombane kwa urithi wakati Kiislaam hesabu zote ziko wazi? wanaogombana ni wale wasiofata dini yao na maamrisho yake, mimi nashkuru kwetu hatukuwa na tatizo hilo.
 
Hivi huwa mnatafuta pesa kula na familia zenu saa ngapi?

Hilo tukuulize wewe maana kwa miaka minne umeandika/post articles takribani 14,895,umetoa likes 5451 kwa watani inaonyesha ulikuwa unaandika takriban 20 kwa siku.

Takwimu zako zinaonyesha wewe ni jobless,unashinda jamii forum,natia shaka Unatumia kichwa chako........
 
 

Nadhani maoni yako ni mazuri, hongera kwa kujaribu!
 
hivi huwa mnatafuta pesa kula na familia zenu saa ngapi?
wanagongewa wake zao, wape pole! Wanashinda lumumba, wenzao huku wanachambua ngozi tu! Merry xmass jukwaa hili!
 
Kusoma kuna faida ya nyongeza katika uongozi ila si lazima kusoma katika kiwango cha udoctor na uprofesor.Mtu anaweza akawa amesoma kiasi chake akawa kiongozi mzuri tu.Nyerere na mandela wamesoma kiasi lakini walikuwa na uongozi uliotukuka.
 
Waaarusha Oyeee!! Otaa taa, ino olmeeeki.
Je olmeeki ni nani ktk nchi hii??
Unajua hatutaki mtu wa kaskazini na unajua Rais hatatoka kaskazini?
Je kama nyie wa kijani mnakubali?

Wewe ni mwongo, mzushi na mpotoshaji mkubwa. Kwani wenyeviti wote CHADEMA tokea iasisiwe walikuwa wachagga?
Hebu nieleze Hayati Bob Makani, Dr. Kabouru pia walikuwa wachagga?
Mi si mchagga lakini napinga kwa dhati unyanyasaji wa watu kwa kutegemea wanatokea wapi.
 
Kama hajaupeleka kwa Mbowe au Padre Slaa bado huu utakuwa ni waraka wa Siri maana JF siyo ofisi za Chadema.
 
vizuri kwa maoni yako kwa sababu mtapata mda mzuri wa kumtumikia yesu km kinavyosema kile kibabu ksichooa na haya hakina hao waislam wawili uliowataja ni gelesha tu then dont think that every muslim is a zanzabarian kmbe ndio siasa zenu hizo znz hatutak uchaf yesu na chadomo hko huko bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…