Al Jazeera's Nazanine Moshiri meets members of the group in Lake Sake. |
#Nchi yetu imevamiwa na majangili yamejaa kila kona wanaacha
kupambana nao mnaenda kupambana kongo ni sifa za kijinga!
#Mmeshindwa kupambana na wezi kwenye serikali na chama chenu leo mnataka kwenda kongo ni sifa za kijinga,
#Nchi yetu imejaa wahamiaji haramu, wasomali, waarabu, wachina, wahindi, warundi, wakongo, wa nigeria, wahindi nk leo mnajifanya mnapeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga.
#Kama mna jeshi lisilo na kazi iweje wanyama wetu waibiwe na kutoroshwa alafu leo mnajifanya mnapeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga
tena mnatia hasira.
#Kuna vijiji watu wanauwawa na majambazi na kuporwa mali zao mfano mwanza arusha na moshi alafu leo mnajifanya mnataka kupeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga
wangemruhusu aingize hiyo batallion yake halafu ikazungungwe na watusi na kumalizwa ndio angeona ikulu haifai
Ukisoma maazimio ya kikao cha leo cha inchi za maziwa makuu(ICGLR)
Utatambua namna kagame na Mseveni walivyo mzidi kete jK.
jk aliwasilisha offer ya batollian moja ya Jesh kwenda Kivu kupambana na M23. ambao wanafadhiliwa na Uganada na Rwanda.
Bila kujali au kuipa uzito hoja ya Jk maamuzi yamekuwa kama ifuatavyo
1. waasi waondoke Goma hadi umbali wa Km 20 kutoka mjini.
2. police wa DRC warudi kazini kulinda raia.
3. jeshi la DRC (FARDC) watume batolian moja katika jiji la Goma.
4. Kabila azungumze na waasi.
5. Uwanja wa ndege wa Goma. ulindwe na muunganiko wa vikosi (campony) vitatu.
kimoja cha FARDC jeshi la serikali ya Kongo.
kimoja cha nuetral force ya Maziwa makuu.
Kimoja cha waasi wa M23.
6. Mchakato huu utekelezwe kwa pamoja kati ya Rwanda na Kongo. na msimamizi mkuu ni Uganda.
pia kiakao kimepongeza Tz kujitolea batolian lakini haita itajika.
my take Rwanda na Uganda wanmeendelea kujipa majukumu yote na kuipiga teke Tz kwani inaweza kutibua deal lao ya wizi wa madini Kivu.
sasa Rwanda iatakua na ushawishi zaidi Goma kwani M23 watakua airport na wao watakua airpot sasa kazi moja tu kusafrisha madini.
M7 ndo alikua Mwenyekiti wa kikao.
Hapa amani bado iko mbali sana.
ishawahi kutokea ilikua kisangani kikosi cha mizinga kutoka tz kilikua upande mmoja na rpa baadae wakawazunguka wawauwe ili waibe bila shaidi ..shukru mungu jwtz wali~detect mawasiliano yao.
tanzania ilikurupuka kutangaza habari za kupeleka jeshi drc. Maana walijua kabisa kwamba huo mgogoro una interest za m7 na kagame sasa walifikiri wanapeleka jeshi likapigane na nani? Ikitaka, tanzania imkatae kagame na m7 halafu iungane na kabila kuwacharaza akina m7 kama ina huo ubavu.