Viongozi wamaliza kuijadili DRC, Kagame hakuhudhuria

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
[video=youtube_share;PdGK5yulbWo]http://youtu.be/PdGK5yulbWo[/video]

Joseph Kabila, president of the Democratic Republic of Congo, has held direct talks with the leader of the M23 rebels in Uganda, hours after a regional summit called on them to end their offensive in the east of the country.
Jean-Marie Runiga Lugerero, the political leader of the eastern DR Congo rebel group, said on Sunday he had an initial meeting with Kabila after the summit in the Ugandan capital, Kampala, ended on Saturday.
While he was not invited to the summit itself, Runiga Lugerero told the AFP news agency he had been able to meet Kabila thanks to the mediation of Yoweri Museveni, the Ugandan president, with whom he had been due to hold talks.
"The atmosphere was tense but afterwards, each [side] calmed the debate down because these are not personal problems, but problems of the country" that must be settled, he told AFP news agency by phone.
"I think the meeting went very well."
'Sweeping reforms'
Leaders at the summit in the Ugandan capital on Saturday said that the rebels should withdraw to positions at least 20 km north of Goma, the eastern DRC town in the province of North Kivu that they seized on Tuesday.
Runiga Lugerero, however, made it clear that any withdrawal would only come about after talks between the rebel movement and Kabila. M23 fighters will defend their positions if Congo's troops attacked, he warned.
Runiga Lugerero's announcement came just days after Kabila had appeared to rule out talks with the rebel force.

Paul Kagame, the Rwandan president accused of backing the rebels, did not attend the Kampala summit and instead delegated his foreign minister Louise Mushikiwabo.
Rwanda and Uganda, also accused by the UN of supporting the rebels, deny the charges.

Al Jazeera's Nazanine Moshiri meets members of the group in Lake Sake.
Al Jazeera's Peter Greste, reporting from Kampala, said M23 political leaders will have another round of talks with Kabila again in the Ugandan capital on Sunday.
Raymond Tshibanda, Congolese foreign minister, confirmed that the first meeting took place but said further face-to-face talks between Kabila and M23 were unlikely.
"It's very hard for the Congolese government to acknowledge that they are speaking to the rebels as they consider them an illegitimate group," Greste said.
"The M23 want to discuss sweeping reforms and broad issues concerning the country, like healthcare, education and human rights. They say these topics are on the table. But the government would find it very difficult to discuss such issues with them."
The M23 was launched by former fighters from the Tutsi ethnic group, the minority group that inhabits both Rwanda and DR Congo and to which Kagame belongs.

The rebels were integrated into the military under a March 23 2009 peace deal from which their name is derived. The mutineers say the terms of that deal were never fully implemented.
After the summit in Kampala ended, president Kabila was asked if he was happy with the outcome. He said he would be satisfied "when peace returns".
'Deep concerns'
The summit was officially reserved for the nations of the 11-member International Conference on the Great Lakes Region.
Dlamini Zuma, head of the AU commission, reiterated the bloc’s "deep concern at the worsening humanitarian situation on the ground and the abuses committed against the civilian populations".
The rebels captured Goma on Tuesday, and took the key town of Sake 20 kilometres to the west the next day.
The fighting has created a humanitarian crisis, forcing tens of thousands of people to flee, amid persistent reports that the M23 rebels have carried out atrocities against local people.
 
Mwisho wa mkutano wao mjini Kampala, Uganda, viongozi hao wamewataka wapiganaji wa kundi la M23 waondoke kutoka mji wa Goma waliouteka hivi karibuni.

Viongozi hao pia walimsihi Rais wa Congo, Joseph Kabila, kushughulikia malalamiko ya wapiganaji.

Viongozi wanne walihudhuria mkutano huo – Rais Paul Kagame wa Rwanda hakuwepo.

Walipendekeza kuweka kikosi cha pamoja katika uwanja wa ndege wa Goma kitachokuwa na wanajeshi kutoka Tanzania, jeshi la Congo na M23.

Rwanda inashutumiwa kuwa inawasaidia wapiganaji wa M23 – shutuma inazokanusha.

Baada ya kuuteka mji wa Goma, wapiganaji wamesonga ndani zaidi kwenye ardhi iliyokuwa ikidhibitiwa na serikali.

Mashirika ya misaada yanaonya kuwa hali ya wakaazi inazidi kuwa mbaya.
 
Ukisoma maazimio ya kikao cha leo cha inchi za maziwa makuu(ICGLR)
Utatambua namna kagame na Mseveni walivyo mzidi kete jK.

jk aliwasilisha offer ya batollian moja ya Jesh kwenda Kivu kupambana na M23. ambao wanafadhiliwa na Uganada na Rwanda.
Bila kujali au kuipa uzito hoja ya Jk maamuzi yamekuwa kama ifuatavyo

1. waasi waondoke Goma hadi umbali wa Km 20 kutoka mjini.
2. police wa DRC warudi kazini kulinda raia.
3. jeshi la DRC (FARDC) watume batolian moja katika jiji la Goma.
4. Kabila azungumze na waasi.
5. Uwanja wa ndege wa Goma. ulindwe na muunganiko wa vikosi (campony) vitatu.
kimoja cha FARDC jeshi la serikali ya Kongo.
kimoja cha nuetral force ya Maziwa makuu.
Kimoja cha waasi wa M23.

6. Mchakato huu utekelezwe kwa pamoja kati ya Rwanda na Kongo. na msimamizi mkuu ni Uganda.

pia kiakao kimepongeza Tz kujitolea batolian lakini haita itajika.
my take Rwanda na Uganda wanmeendelea kujipa majukumu yote na kuipiga teke Tz kwani inaweza kutibua deal lao ya wizi wa madini Kivu.

sasa Rwanda iatakua na ushawishi zaidi Goma kwani M23 watakua airport na wao watakua airpot sasa kazi moja tu kusafrisha madini.

M7 ndo alikua Mwenyekiti wa kikao.

Hapa amani bado iko mbali sana.
 
Mmmh..mmmh.... Jk.... Mhhh....jk. Alikuwa kikaoni au Grand Hotel
 
Pale source ya mgogoro wote ni M7 na Kagame!! Na kwetu tungekuwa na vichaa kama wale, Wanyasa wasingethubutu kutaka ziwa lote! M7 na Kagame ni lugha moja, na hakuna cha maana kinachoweza kufanyika zaidi ya kuendeleza vikundi vya uasi.
 
Bora imeshindikana kupeleka vijana wetu kwa hao majambazi..waendelee kulinda tu mipaka yetu.!
 
Inawezekana rais wetu hakuelewa picha iliokuwepo,kesi ya nyani wamewapelekea ngedere.
 
Du! Mbona role ya UN haionekani kama ilijadiliwa. Nafikiri mgogoro wa DRC ni zaidi ya unavyoonekana. So many things behind the curtail. Siri za kijinga zinazoendeleza uporaji wa rasilimali na kuondoa uhai wa watu wasiokuwa na hatia ambao Mungu hakukosea kuwaumba na kuwaweka katika nchi tajiri kama DRC.
 
#Nchi yetu imevamiwa na majangili yamejaa kila kona wanaacha
kupambana nao mnaenda kupambana kongo ni sifa za kijinga!
#Mmeshindwa kupambana na wezi kwenye serikali na chama chenu leo mnataka kwenda kongo ni sifa za kijinga,
#Nchi yetu imejaa wahamiaji haramu, wasomali, waarabu, wachina, wahindi, warundi, wakongo, wa nigeria, wahindi nk leo mnajifanya mnapeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga.
#Kama mna jeshi lisilo na kazi iweje wanyama wetu waibiwe na kutoroshwa alafu leo mnajifanya mnapeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga
tena mnatia hasira.
#Kuna vijiji watu wanauwawa na majambazi na kuporwa mali zao mfano mwanza arusha na moshi alafu leo mnajifanya mnataka kupeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga
 
kama ni hivyo, tz hakuwa na haja kuhudhuria hayo mazungumzo. Tutamkumbuka nyerere sana, hawezi buruzwa zaidi yakuwaburuza yy.
 
#Nchi yetu imevamiwa na majangili yamejaa kila kona wanaacha
kupambana nao mnaenda kupambana kongo ni sifa za kijinga!
#Mmeshindwa kupambana na wezi kwenye serikali na chama chenu leo mnataka kwenda kongo ni sifa za kijinga,
#Nchi yetu imejaa wahamiaji haramu, wasomali, waarabu, wachina, wahindi, warundi, wakongo, wa nigeria, wahindi nk leo mnajifanya mnapeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga.
#Kama mna jeshi lisilo na kazi iweje wanyama wetu waibiwe na kutoroshwa alafu leo mnajifanya mnapeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga
tena mnatia hasira.
#Kuna vijiji watu wanauwawa na majambazi na kuporwa mali zao mfano mwanza arusha na moshi alafu leo mnajifanya mnataka kupeleka jeshi kongo ni sifa za kijinga

kwa hiyo vifaru na ndege za kijeshi zikatumike kupambana na wezi wa ngombe na ndovu
 
wangemruhusu aingize hiyo batallion yake halafu ikazungungwe na watusi na kumalizwa ndio angeona ikulu haifai
 
Tanzania ilikurupuka kutangaza habari za kupeleka jeshi DRC. maana walijua kabisa kwamba huo mgogoro una interest za M7 na kagame sasa walifikiri wanapeleka jeshi likapigane na nani? Ikitaka, Tanzania imkatae Kagame na M7 halafu iungane na Kabila kuwacharaza akina m7 kama ina huo ubavu.
 
wangemruhusu aingize hiyo batallion yake halafu ikazungungwe na watusi na kumalizwa ndio angeona ikulu haifai

Ishawahi kutokea ilikua kisangani kikosi cha mizinga kutoka tz kilikua upande mmoja na RPA baadae wakawazunguka wawauwe ili waibe bila shaidi ..shukru Mungu JWTz wali~detect mawasiliano yao.
 
Ukisoma maazimio ya kikao cha leo cha inchi za maziwa makuu(ICGLR)
Utatambua namna kagame na Mseveni walivyo mzidi kete jK.

jk aliwasilisha offer ya batollian moja ya Jesh kwenda Kivu kupambana na M23. ambao wanafadhiliwa na Uganada na Rwanda.
Bila kujali au kuipa uzito hoja ya Jk maamuzi yamekuwa kama ifuatavyo

1. waasi waondoke Goma hadi umbali wa Km 20 kutoka mjini.
2. police wa DRC warudi kazini kulinda raia.
3. jeshi la DRC (FARDC) watume batolian moja katika jiji la Goma.
4. Kabila azungumze na waasi.
5. Uwanja wa ndege wa Goma. ulindwe na muunganiko wa vikosi (campony) vitatu.
kimoja cha FARDC jeshi la serikali ya Kongo.
kimoja cha nuetral force ya Maziwa makuu.
Kimoja cha waasi wa M23.

6. Mchakato huu utekelezwe kwa pamoja kati ya Rwanda na Kongo. na msimamizi mkuu ni Uganda.

pia kiakao kimepongeza Tz kujitolea batolian lakini haita itajika.
my take Rwanda na Uganda wanmeendelea kujipa majukumu yote na kuipiga teke Tz kwani inaweza kutibua deal lao ya wizi wa madini Kivu.

sasa Rwanda iatakua na ushawishi zaidi Goma kwani M23 watakua airport na wao watakua airpot sasa kazi moja tu kusafrisha madini.

M7 ndo alikua Mwenyekiti wa kikao.

Hapa amani bado iko mbali sana.

Ukiyasoma maazimio haya huwezi amini yametolewa na marais wa maziwa makuu.Maazimio haya ni level ya uwezo wao. Unawezaje kuruhusu waasi wa M23 kuwa kwenye collaboration na jeshi la Congo na hiyo neutral force katika kuulinda uwanja wa Goma? Wanaingia kama nani? Nani amewatambua? Wanatoa wapi silaha? Who train them? Definitely Rwanda and Uganda, for which reason? Natural resources?

Kuna maswali mengine yanakosa majibu.Hivi Rwanda kama nchi ina survive vipi kwa kutegemea export ya Kahawa na Chai tu? Si kwamba Rwanda inajengwa na madini ya DRC? Wanatuma waasi kusaka rasilimali na marais hawa (wao wanajiita waheshimiwa) wanakuja na maazimio ya kufurahishana na ya kitoto kabisa. I expected my president JK angekataa maazimio hayo. Msimamo wa Membe ulikuwa sahihi, JK kawa dhaifu kuutetea.

Hebu angalia hilo azimio la mwisho kwenye RED ndiyo uone ukituko wa viongozi hawa. Yaani wanaotuhumiwa na DRC-Kinshasa ndiyo haohao wamepewa kazi ya kutekeleza maazimio. Tanzania yangu imesimama wapi? Udhaifu kabisa,tunapoteza heshima na nguvu yetu katika ukanda huu.
 
Ngoja kiendelee kunuka watatatutafuta tu. CV yetu inaeleweka kwa support tulizotoa
Uganda
Rwanda na
DRC
 
tanzania ilikurupuka kutangaza habari za kupeleka jeshi drc. Maana walijua kabisa kwamba huo mgogoro una interest za m7 na kagame sasa walifikiri wanapeleka jeshi likapigane na nani? Ikitaka, tanzania imkatae kagame na m7 halafu iungane na kabila kuwacharaza akina m7 kama ina huo ubavu.

membe alikurupuka sana kuwafananisha m23 na wale waswahili wa anjuan
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom