Viongozi Wakuu CDM mpo wapi???????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi Wakuu CDM mpo wapi????????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Simchezo, May 22, 2012.

 1. Simchezo

  Simchezo JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wana JF; Nimekuwa nafuatilia mfululizo wa habari zinazomuhusu Shibuda na yale ambayo anendelea kusema hadharani pi nawafuatilia viongozi wa BAVICHA hasa Heche na huyu Juliana Shonza jinsi wanavyobishana hadharani, Nabaki najiuliza hivi viongozi wakuu mpo wapi???? ili mtoe tamko rasmi la chama?? mjue hii ni hatari kwa chama, msifikiri kwamba cdm itapendwa muda wote hata ikifanya madudu, Amkeni huko mlipo!!!
   
 2. w

  warea JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda wanatafuta mzizi wa fitina! unataka nao wakurupuke?
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Unajua matamko hayasaidii kama mzizi wa ukurupukaji haujashughulikiwa.
   
 4. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Whatever strategy CDM is using on the guy i like it. is the appropriate one!
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Chama hakiongozwi na matamko wala na porojo za vyombo vya habari......

  Kama mwanachama soma katiba, hudhuria vikao jenga chama acha kusubiria matamko..

  Uhai wa chama ni wanachama wenye imani na moyo wa mapambano.......

  Kwa bahati mbaya sana wafuata mkumbo ndio wamejaa bongo
   
 6. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  [Chama hakiongozwi na matamko wala na porojo za vyombo vya habari......

  Kama mwanachama soma katiba, hudhuria vikao jenga chama acha kusubiria matamko..

  Uhai wa chama ni wanachama wenye imani na moyo wa mapambano.......

  Kwa bahati mbaya sana wafuata mkumbo ndio wamejaa bongo
  [/QUOTE]


  umefunga mjadala mkuu!
   
Loading...