stino16.na
Member
- Aug 12, 2013
- 30
- 15
wanaweka pesa USWISS,
Wanatibiwa INDIA,
Wanajenga LONDON
Wanawekeza USA na S, AFRICA
Shopping DUBAI
Matanuzi PARIS
Kuungama wanaenda ISRAEL na SAUDIA
Lakini wakifa wanazikwa TANZANIA,
Hivi TANZANIA ni sehemu ya makaburi?
niambieni jamani, uskute naishi makaburini bila kujijua,,,,
Wanatibiwa INDIA,
Wanajenga LONDON
Wanawekeza USA na S, AFRICA
Shopping DUBAI
Matanuzi PARIS
Kuungama wanaenda ISRAEL na SAUDIA
Lakini wakifa wanazikwa TANZANIA,
Hivi TANZANIA ni sehemu ya makaburi?
niambieni jamani, uskute naishi makaburini bila kujijua,,,,