viongozi wa simba na yanga ni mataahira wakapimwe akili

komeka

JF-Expert Member
May 1, 2013
1,073
1,225
Nimekuwa nikishangazwa na viongozi wa simba na yanga kusajili wachezaj kwa mamilion ya pesa hlf uwanja wa mazoez hawana!!! Yaan wanatumia mil 500 kusajili wachezaj hlf wanawapeleka kufanya mazoez kwny viwanja vya malisho ya ng,ombe
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,556
2,000
Nimekuwa nikishangazwa na viongozi wa simba na yanga kusajili wachezaj kwa mamilion ya pesa hlf uwanja wa mazoez hawana!!! Yaan wanatumia mil 500 kusajili wachezaj hlf wanawapeleka kufanya mazoez kwny viwanja vya malisho ya ng,ombe

Wakupimwa ni ninyi ambao bado mnashabikia hizo klabu! Mimi nilichaachana nazo zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Timu inaongozwa na Rage unategemea nini? Timu inafadhiliwa na Manji unategemea nini? Wacha niendelee kujikita kwenye ligi za Ulaya!
 

LIBRARY

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
234
0
Tatizo sio simba na yanga bali ni system nzima ya ccm na utawala wake.!

Ahha! Babu ehh tuache kidogo wananchi tupumue na siasa zenu.

Tatizo nadhani liko kwetu mashabiki, inabidi tuanze kushabikia tu sio mpira hadi mazingira ya mchezo wenyewe.
 

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,292
2,000
Wewe umeshatwambia imani yako kwamba hao watu ni taahira. Sasa kwa nini wakapimwe akili? Mimi naona kama wewe ndiye wa kupimwa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom