Yaani ndugu izo ni chuki tu dhahir hakuna muislamu anaekataa elimu aya za kwanza kabisa kushuka katika Qur an zinaanza na ujumbe "SOMA" sasa ukimuona muislam anakataa elimu inabidi tuhoji uislam wake na hata katika hadith za mtume Muhammad(s.a.w) anasema "tafuta elimu hata kama inapatikana china". Huu ndio uislam wa kweli izo zingine ni chuki na hayo nimaneno yako ya kutunga tu kwa hila uliyonayo juu ya uislam.
we KAFIRIIII jihurumie,
HIVI KARET/JUDO/UKAKAMAVU UNAFUNDISHWA JESHINI TU?????
NI VYUO VINGAPI MITAANI VINAFUNDISHA JUDO NA KARET?
NI SHULE NGAPI ZINAFUNDISHA UKAKAMAVU KUPITIA SKAUT NA PROGRAM NYINGINE ?
NI WAGALATIA WENZAKO WANGAPI HAWAKUSOMA WALA HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA HAUWAHURUMII UNAWASHWA NINI NA UISLAM ?
NI SHERIA GANI NCHI HII INAYOKATAZA MAFUNZO YA JUDO AU KARET?
CHOKOCHOKO MNAZOZIANZISHA MTAONA MATUNDA YAKE KARIBUNI, HATA KENYA WALIANZA HIVYO HIVYO KWA KUUA MASHEIKH NA KUFUNGA MISIKITI, LEO WNAJUTA NA KUSAGA MENO.
UTALII UKEKWISHA, USALAMA UMEKWISHA, NA BADO HALI INAZIDI KUWA MBAYA.
DHULMA DHIDI YA WAISLAM HAITO DUMU ILA ITAANGAMIZA MUANGAMIZO MBAYA KABISA.
huyu KAFIRII anawashwa na uislam, karibuni atajua madhara ya dhulma anayoifanya..
Tena kuna sehemu nyingine yupo kafungua mada kama hii lengo ni kuuharibu uislam.
Yaani ndugu izo ni chuki tu dhahir hakuna muislamu anaekataa elimu aya za kwanza kabisa kushuka katika Qur an zinaanza na ujumbe "SOMA" sasa ukimuona muislam anakataa elimu inabidi tuhoji uislam wake na hata katika hadith za mtume Muhammad(s.a.w) anasema "tafuta elimu hata kama inapatikana china". Huu ndio uislam wa kweli izo zingine ni chuki na hayo nimaneno yako ya kutunga tu kwa hila uliyonayo juu ya uislam.
nimeziona zote na tunakwenda nae sahani moja mpaka mwisho. wanataka kuizima nuru ya MwenyeziMungu kwa vinywa vyao; kamwe hawawezi.
huyu KAFIRII anawashwa na uislam, karibuni atajua madhara ya dhulma anayoifanya..
Kama ningelikuwa mimi ni wewe, ninalijua hilo, nisingembishia mleta habari kwa sababu wakati anapata hizo habari hatukuwa wote. Hapa inaonyesha ubishi wa makusudi wenye lengo la kutetea na kufunika uovu.
La pili ningelikuwa ni wee, nintambua kufanay hivo ni kinyume cha imani, na nina jua kuna kukengeuka, hatua muhimu ilikuwa ni kuwasiliana an msemaji, akupe anuani ya huko alikopata habari hizi, ufuatilie kujua ukweli wa mambo haya ndipo ujue nini cha kufanya ama kusema.
Mbona hujasema watoto 147, 112, na makumi mengi waliofichwa Klimanjaro hata shule hawaendi nao wanafundishwa haya haya? Hadi jion hii polisi wamezingira misikiti yenye watoto karibia 70 wenye umri wa kusoma, lakini hawasomi ila wamefugwa miskitini wakifundishwa uharifu huu?
Unahitaji kuitendea haki dhamiri na nafsi yako.
KAFIRIIIIIII Tabby hata ukikopi msahafu Mzimaa haisaidii kitu; kafiri sio rafiki wa muislam ni mtu wa kuishi nae kwa uangalifu na kumtendea HAKI pasi na kumdhulumu ila sio kumfanya rafiki.
yaani unaishi nae kama MWANADAMU Mwenzako tu: akifanya Hila dhidi ya uislam unampa kinacho mstahiki; dhulma inalipwa vilivyo na sio kinyume chake.
HAUTAKI UNAACHA; UISLAM HAUTAKI MUISLAM AU DINI IDHIHAKIWE; KUONEWA AU KUDHALILISHWA.
ANAYETAFANYA HAYO ANASTAHIKI UJIRA ( ADHABU) KULINGANA NA MAFUNDISHO YA UISLAM .
HUO NDIO UKWELI ; HAUTAKI UNAACHA NA UNABAKI NA UKAFIRO WAKO L.
Kwanza uelewe mimi sio wa jana wala wa juzi nyinyi makafiri fitina ndio zenu iyo habari ilivyo kaa tu inaeleweka ana lengo gani ajaleta kama kuhabarisha bali kushutumu uislam. Nyinyi chadema ndo mulivyo polisi haohao wakifanya ayo mambo kwa Gwajima na Dr. Silaa mnasema wanaonewa ila kwa waislam amuhoji bali ni ukweli izo tuhuma ni za miaka yote sisi tumeshazizoea na lengo ni kutaka kuwavuta watu wa iman yenu muwe kitu kimoja kupumbana na uislam kwa muavuli wa ugaidi na mwisho wa siku muwahamasishe wampigie kura dr.silaa.