VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
HABARINI ZA ASUBUHI WADAU!!
Kama kichwa cha habari hapo juu tajwa!¡ Wenyekiti wa serikali za mitaa wanalazimisha watumishi wa umma wachangie michango ya ujenzi wa shule ilihali huyu mtumishi wa umma analipakodi ya mapato kila mwezi katika mshahala wake tofauti na mwananchi wa kawaida na ukiwaeleza wanakuwa wakali sana.... Tatizo ni elimu elimu!!!
Leo asubuhi nimegongewa mlango na mwenyekiti wa serikali za mitaa kuwa nichangie ujenzi wa madarasa ndipo nikampa ukweli kuwa mimi ni mtumishi wa umma hivyo kila mwezi mimi ninalipa serikalini ama kukatwa kodi ya mapato yaani income tax ambazo ndizo kazi zake kwenye kununua madawa. Ujenzi wa mabarabara. Ujenzi wa shule nakadhalika. Lakini akawa mgumu kuelewa. Na mimi nikamwambia sitatoa kwa sababu vielelezo ninavyo na ushahidi ninao!!!! Akasema atanishitaki!!! Nikamwambia well well go on!!!
Hivi watumishi wa umma hii michango tunastahili kweli???? Binafsi naona kama hatustahili sijui watumishi wenzangu!!