Ruyama
JF-Expert Member
- Sep 6, 2019
- 367
- 561
Habari za muda huu, kuna kipindi nilileta malalamiko hapa juu ya walimu tuliosahihisha mtihani wa Mock hatukulipwa, ila baada ya kuleta hilo Jambo hapa tukalipwa kidogo wakatwambia watamalizia.
Kesho mitihani ya kitaifa inaenda kuanza hawajatumalizia kutulipa tokea, jamani kazi tulifanya kwa umakini lakini HATUTHAMINIWI, tulisha kwenda kwa Afisa elimu wa mkoa akatwambia tusuburie kila tukimkumbusha majibu ni hayo, kwa kweli inauma sana kuona walimu tulio fanya ile kazi ngumu tunadhulumiwa hivii hivii.