Malalamiko niliyoyaleta juzi juu ya walimu Morogoro yamezaa matunda

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Nitoe shukrani kwa JF,

Juzi nilileta duku duku walimu tulio sahihisha mitihani ya mock baada ya kazi hiyo tulipigwa dana dana juu ya malipo sasa

Tumeambiwa tutapewa kiasi kingine kidogo cha pesa kiasi kingine watamalizia baadae,tukikataa kuchukua kidogo hatujui lini tutalipwa pesa zote.
 
Kwani ulilazimishwa kwenda kusahihisha?mambo mengine ni kujitakia tu
 
Ww ban inakuhusu...kwani lazima utukane siuongee tu bila kutukana
Jaribu kuficha Upumbavu Mkuu..hata kama hujui kitu sio lazima useme kitu waweza kaa kimyaa tu..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Hiyo hela shing ngapi!!?
Ana stahili kulipwa NIGHT OUT ALLOWANCE kama walifanyia mkoani analipwa Laki moja kwa siku, kama wamefanyia wilayani analipwa elfu 80 kwa siku. Piga hesabu alikaa night ngapi hapo. Lakini unaweza kuta watalipwa elf 10 au 15.
 
Kwani ulilazimishwa kwenda kusahihisha?mambo mengine ni kujitakia tu
Acha upumbavu, watu wana watoto wapo huko na wamefanya mitihani, walimu wameenda kusahihisha,

Unajisikiaje mwanao anafanya mtihani na asisahihishiwe ,usikie walimu wamegoma

Acha upumbavu ,kwani kukaa kimya bei gani

MUNGU WABARIKI WALIMU
 
Ana stahili kulipwa NIGHT OUT ALLOWANCE kama walifanyia mkoani analipwa Laki moja kwa siku, kama wamefanyia wilayani analipwa elfu 80 kwa siku. Piga hesabu alikaa night ngapi hapo. Lakini unaweza kuta watalipwa elf 10 au 15.
mmmh kama ikitokea 100k si atakuwa kazidi mshahara wake maradufu...hapo utakuta ni hiyo uliosema mwishoni na yenyewe ni mkopo.
 
Back
Top Bottom