Alkam Alkam JF-Expert Member Jan 7, 2018 602 509 Jan 2, 2023 #1 Kuna Hospitali imejengwa na inaendelea kujengwa huku Kivule Frem Kumi Kwa jina Nimeskia inaitwa AMANA Miundombinu ya barabara kutoka kitunda kituo kinaitwa muembeni inapo ishia rami kuja mpk hospitali hairidhishi barabara ni mbovu na hapana kilomita 10 kufika hospital Wagonjwa Wanaoletwa kutoka kitunda kufika huku kama yupo seriously anaweza kata moto njiani Pia hii hospital ni kubwa Wekeni Ambulance.
Kuna Hospitali imejengwa na inaendelea kujengwa huku Kivule Frem Kumi Kwa jina Nimeskia inaitwa AMANA Miundombinu ya barabara kutoka kitunda kituo kinaitwa muembeni inapo ishia rami kuja mpk hospitali hairidhishi barabara ni mbovu na hapana kilomita 10 kufika hospital Wagonjwa Wanaoletwa kutoka kitunda kufika huku kama yupo seriously anaweza kata moto njiani Pia hii hospital ni kubwa Wekeni Ambulance.
Traveller_mona Member Jan 11, 2019 94 162 Jan 2, 2023 #2 Mimi ni mkazi wa hilo eneo nakuunga mkono mkuu ,unajua ishu hawa viongozi wetu waingiapo madarakan tu basi hauwaoni hawa viongozi wa chini ukiwafata utasikia ngoja tuandike barua yaan complications nyingi sana
Mimi ni mkazi wa hilo eneo nakuunga mkono mkuu ,unajua ishu hawa viongozi wetu waingiapo madarakan tu basi hauwaoni hawa viongozi wa chini ukiwafata utasikia ngoja tuandike barua yaan complications nyingi sana
F FRESHMAN JF-Expert Member Sep 29, 2011 8,820 33,544 Jan 2, 2023 #3 Kivule ina kilio cha lami cha muda mrefu sana
N Nyakisese 2 Senior Member May 13, 2022 164 272 Jan 2, 2023 #4 Na Kuna Wakazi wengi barabara mbovu anzia Banana Sent using Jamii Forums mobile app