Bahati mbaya iliyo kubwa ni kwamba Mbowe hakuwahi hata siku moja kutoa kauli zake binafsi. Anayoyasema leo Mbowe ni makubaliano ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA iliyokaa tar 3&4 mwezi wa nne.Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu
Hivi ofisi ya Zitto na ya Slaa zipo kwenye umbali mkubwa kiasi gani? Dr. Slaa ni katibu mkuu na Zitto ni Naibu katibu mkuu. Hivi kulikuwa na sababu yoyote ya msingi ya Zitto kumwandikia barua Dr. Slaa? Kwanini hakwenda kuongea naye in person au asubiri vikao ambavyo yeye ni mmoja wa wapangaji wake ili atoe hilo pendekezo? CHADEMA hakuna utaratibu wa vikao vya dharura vya viongozi wakuu wa chama? Kwani hakuomba kikao cha dharura, na hasa kwa jambo kubwa kama hili?
Na kwanini barua ilivuja? Mbowe amegundua kwamba Zitto anataka kuwachezea akili. Na wanataka wamwonyeshe kwamba hawanunuliki kirahisi hivyo kwa pesa za mafisadi. Zitto anatakiwa atulize akili kidogo katika utendaji wake wa mambo. Asitafute sana kuonekana.
Mie nilikuwepo ubungo plaza,niliingia saa sita na nusu mchana nikatoka saa nane kamili mchana.Nakiri kuwa kama chadema kinataka kukua basi Mbowe aachie ngazi! Huyu jamaa hana lolote kabisa,awaachie akina mnyika na wengine waongoze chama,ni mtupu ajabu