othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,688
- 9,102
Hao viongozi ni wadini gani, au ni walamba asali tu.
Dini gani kwanza? Hakuma dini hapoViogozi wa dini waliokutana Dar es Salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.
Wakiwataja majina Mdude, Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka Serikali iwadhibiti hasa kupitia Mahakama.
Wameenda mbali na kulaani muito wa Muungano kuwa ulilenga kuleta machafuko baada ya kushindwa mahakamani
Chanzo channel Ten
USSR
Hehehee......anataka muambulia aibuSijui kama unajua nini maana ya neno "Viongozi wa dini". Ulitakiwa useme, mashehe wa Kislam wataka.......................
Dr. Slaa anavuna alichopanda...huyu mzee ni mnafiki sana...wakati mboww amefingwa yeye alikuwa anatoa kejeli kuwa ugaidi wa mbowe waweza kuwa kweli ..pia lissu alivyopigwa risasi huyu slaa alisema kapigwa na watu wa chadema....sasa sioni sababu kwanini watu wanahangaika na slaa..mwacheni afinywe...kama alivyokua anashangilia wenzake wakiteswa...

Nyamaza chanel ten mlipora!!!Mbona mpaka leo ufipa hakuna tv; wanategemea vijionline tv vya youtube?
Haijalishi.Nyamaza chanel ten mlipora!!!...
Hivi hawezi kuanzisha orynx Yao nkBAKWATA Embu anzisheni vitega uchumi bana muache njaa aibu hii.
Sema viongozi wa dini ya kiislamuViogozi wa dini waliokutana Dar es Salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.
Wakiwataja majina Mdude, Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka Serikali iwadhibiti hasa kupitia Mahakama.
Wameenda mbali na kulaani muito wa Muungano kuwa ulilenga kuleta machafuko baada ya kushindwa mahakamani
Chanzo channel Ten
USSR
Viogozi wa dini" sio neno ni sentensi acha ujingaSijui kama unajua nini maana ya neno "Viongozi wa dini". Ulitakiwa useme, mashehe wa Kislam wataka.......................
Fursa ! 😅Dar ni jiji kubwa lakini jambo la ajabu, kwa wenzetu Waislam, wakati wote Dar imekuwa na shekhe mkuu wa mkoa mwenye akili ya ajabu, ambaye wakati wote anafanya kazi ya uchawa kwa viongozi wa Serikali.
Sawa Msemaji wa Kamati ta Amani ya MkoaViogozi wa dini waliokutana Dar es Salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.
Wakiwataja majina Mdude, Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka Serikali iwadhibiti hasa kupitia Mahakama.
Wameenda mbali na kulaani muito wa Muungano kuwa ulilenga kuleta machafuko baada ya kushindwa mahakamani
Chanzo channel Ten
USSR
Maandamano ni haki ya kikatiba sivyo? Basi rekekebisheni katiba nchi isiwe ya kidemokrasiaViogozi wa dini waliokutana Dar es Salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.