USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,897
- 22,667
Viongozi wa dini waliokutana Dar es Salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.
Wakiwataja majina Mdude, Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka Serikali iwadhibiti hasa kupitia Mahakama.
Wameenda mbali na kulaani muito wa Muungano kuwa ulilenga kuleta machafuko baada ya kushindwa mahakamani
Chanzo channel Ten