lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Viongozi wa dini nchini tanzania wako kwenye maombi maalumu,wanamuombea rais,maombi hayo ni maalumu kwa mh rais,ili mtukufu rais aweze kutimiza majuku yake ya kutunga sheria,nzuri za vyombo vya habari,kuwatendea haki wachochezi,na kuwatumbua wazembe,nawashauri viongozi wa dini waongeze maombi yao,wakeshe kila siku wakimuombea rais wao,mungu atawasikiliza