Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,436
Dini siku hizi imejaa na vibweka na vitiko vya kila aina.
Si ajabu ukakuta Mchungaji kawapa mimba kondoo zake hata Saba na woye wanajuana.
Lazima akuzingueMuisilamu umpige hivyo mbona kitanuka!!😨
sijaelewa mshale una point wapi......View attachment 1751111
Dini siku hizi imejaa na vibweka na vitiko vya kila aina.
Si ajabu ukakuta Mchungaji kawapa mimba kondoo zake hata Saba na woye wanajuana.
uislamu nao una vibweka wallah! halafu eti hapo napo kuna Mumgu???
Kwa pasta anayewazabua wenzakesijaelewa mshale una point wapi......
kama majinga vile, yanatandikwa vibao yanaitikia.Kwa pasta anayewazabua wenzake
View attachment 1751111