Viongozi wa dini na madawa ya kulevya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa dini na madawa ya kulevya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtaka Haki, Jun 13, 2011.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni Rais wetu aliwakemea viongozi wa dini kuhusu kuacha biashara ya madawa ya kulevya.
  Kama ni kweli kuna viongozi wa dini wanauza madawa ya kulevya, unadhani njia gani ni sahihi kwa kiongozi wa nchi kushughulikia tatizo hilo?
  Kama unadhani ni wachache tu wanaohusika na jambo hilo unashauri hatua gani zichukuliwe?
  Naomba kuwasilisha.
   
 2. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwa
  sababu, ukimkiri Yesu
  kwa kinywa chako ya kuwa ni
  Bwana, na kuamini moyoni
  mwako ya kuwa Mungu
  ...alimfufua katika wafu,
  utaokoka. Kwa kuwa, kila
  atakayeliitia Jina la Bwana
  ataokoka. Warumi 10:9,
  13.
   
Loading...