Viongozi wa CHADEMA Wawasili nchini Ubelgiji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,548
Reaction score
284,049
Ujumbe wa Vigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umewasili Nchini Ubelgiji kutokea Ujerumani , Chadema chama cha siasa kinachotajwa kuwa Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa , huku kikitajwa kwamba kinaendesha shughuli zake kwa njia ya Kisasa zaidi , kiko kwenye ziara ya kikazi Barani Ulaya .

Ujumbe wa Chadema unaoongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu , umefika kwenye Kituo cha Usimamizi wa Sera na Maendeleo cha Barani Ulaya (ECDPM) na kuzungumza na maofisa wake , Ujumbe huo pia Umetembelea Mtandao wa vyama vya siasa wa Barani Ulaya (ENoP) na kukutana na maofisa wake , Pia Ujumbe huu wa Chadema umefika kwenye Wizara ya Mambo ya nje ya Ubelgiji na kuzungumza na Waziri na Maofisa wa Wizara hiyo .

Lengo la Ziara hii kabambe ni kuchagiza Msukumo wa Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania , ambako Jumuiya ya Kimataifa inaombwa kuilazimisha Serikali ya Tanzania kuheshimu Katiba ya Nchi , kwa kuachia Mikutano ya hadhara na Maandamano , ikiwa ni pamoja na kuendeleza Mchakato wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2025 . Chadema imestukia mchezo mchafu unaoandaliwa na Watawala kuelekea 2025.

Unaweza ukashang'aa na kujiuliza sababu hasa za Chadema kwenda Ulaya kwa ajili ya Mambo haya , Ni hivi , Wazungu ndio Wafadhili wa Nchi za kiafrica , na hasa hizi nchi masikini kama Tanzania , wakikohoa tu hakuna wa kuleta fyokofyoko , na hasa kwa nchi zinazoomba misaada sana kama ilivyo Tanzania , ambapo inafika wakati viongozi wote wa juu wanatawanyika duniani kuomba misaada .

Kwa Mfano , Viongozi wa Tanzania walipanga kwa dhati kabisa , tena bila Haya , kumfunga Maisha Gerezani Freeman Mbowe kwa kesi ya Uongo , lakini baada ya Wazungu kuingilia kati , Mbowe na wenzake waliachiwa bila masharti yoyote.
 
Wazurulaji na wababaishaji wakubwa. Kazi utapeli utapeli tu,Hapo wanatafuta upenyo wa kupiga pesa za wazungu
Mbona mwenyekiti hayupo? Huyu ni Lissu ameita watu wake ili nao wafaidi matunda ya project ya Lissu huko Ubeljiji. Yaani Lissu lazima agombee urais 2025 hata kama Chadema wakidai kujitoa. Hao wanarubuniwa na Lissu kwa sababu kwake ni project kubwa hata akijua 100% kuwa atashindwa. Wanaomfuatilia Lissu wanaona majengo anayoporomosha TZ tangu ajihamishie ughaibuni
 
sasa unalia nini ?
 
Ujumbe wa Vigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umewasili Nchini Ubelgiji kutokea Ujerumani , Chadema chama cha siasa kinachotajwa kuwa Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa , huku kikitajwa kwamba kinaendesha shughuli zake kwa njia ya Kisasa zaidi , kiko kwenye ziara ya kikazi Barani Ulaya .

Ujumbe wa Chadema unaoongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu , umefika kwenye Kituo cha Usimamizi wa Sera na Maendeleo cha Barani Ulaya (ECDPM) na kuzungumza na maofisa wake , Ujumbe huo pia Umetembelea Mtandao wa vyama vya siasa wa Barani Ulaya (ENoP) na kukutana na maofisa wake , Pia Ujumbe huu wa Chadema umefika kwenye Wizara ya Mambo ya nje ya Ubelgiji na kuzungumza na Waziri na Maofisa wa Wizara hiyo .

Lengo la Ziara hii kabambe ni kuchagiza Msukumo wa Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania , ambako Jumuiya ya Kimataifa inaombwa kuilazimisha Serikali ya Tanzania kuheshimu Katiba ya Nchi , kwa kuachia Mikutano ya hadhara na Maandamano , ikiwa ni pamoja na kuendeleza Mchakato wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2025 . Chadema imestukia mchezo mchafu unaoandaliwa na Watawala kuelekea 2025.

Unaweza ukashang'aa na kujiuliza sababu hasa za Chadema kwenda Ulaya kwa ajili ya Mambo haya , Ni hivi , Wazungu ndio Wafadhili wa Nchi za kiafrica , na hasa hizi nchi masikini kama Tanzania , wakikohoa tu hakuna wa kuleta fyokofyoko , na hasa kwa nchi zinazoomba misaada sana kama ilivyo Tanzania , ambapo inafika wakati viongozi wote wa juu wanatawanyika duniani kuomba misaada .

Kwa Mfano , Viongozi wa Tanzania walipanga kwa dhati kabisa , tena bila Haya , kumfunga Maisha Gerezani Freeman Mbowe kwa kesi ya Uongo , lakini baada ya Wazungu kuingilia kati , Mbowe na wenzake waliachiwa bila masharti yoyote.
Pia Chadema muelewe kwa mzungu hakuna kitu inaitwa
"FREE LUNCH"

Yote ambayo Mzungu atawasaidia,yataendana na malipo baada ya kufikia malengo yenu kwa msaada wao.
 
Wazungu watakupa kila utakacho ila tu ukubali kufilan.a,..
Uwe unajiongeza kidogo kusoma soma na kufuatilia mambo Acha Kuwa lipopoma sijui mkoje lakini Mnatia kinyaa!
Haha hii hapa sehemu ya hotuba ywa waziri wa Fedha atokanaye na ccm soma kipengele baada ya kipengele ngumbaru wewe hasaRoman iv
Screenshot_20221129-225533_1.jpg
 
Samia anavyosaidiwa huwa anawalipa nini ?

Mkuu IPO haja ya organization ya mafunzo pale uvccm kuanzisha kitengo maalumu Cha kuwanoa hawa vijana ili waeze kujibu hoja kwa facts vinginevyo wanamuaibisha Mwenyekiti wa chama taifa kama alivyo mwashamba etwege etc. Watuambie Fedha hizi serikaki ilozopewa msaada Nani analipa au Nani analipa? Asome section iv
Screenshot_20221129-225533_1.jpg
 
Back
Top Bottom