SUNGURA-MJANJA
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 200
- 33
Ni M/kiti, Katibu, na katibu mwenezi wa kijiji cha MKAKO kata ya MKAKO..Viongozi hao wamekamatwa na polisi na kuwekwa ndani.Ni baada ya kumshinikiza M/kiti wa kijiji hicho atoke madarakani kutokana na kitendo cha m/kiti huyu kula hela ya mradi wa maji wa kijiji hicho...
SOURCE katibu mwenezi Chadema wilaya ya MBINGA.
SOURCE katibu mwenezi Chadema wilaya ya MBINGA.