Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,482
- 286,930
Wewe humjui mwamba yule. Saa hizi kakodoa macho kwenye infinix yake anaandika uzi wa jinsi mama alivyowatoa watanzania machozi ya furaha kwenda Ethiopia baada ya kuzika tu🤣Lucas ameingia uvunguni Rasmi😀😀
Kutoka humo labda tarehe 22!!
Ana mstari wake pendwa wa kufungia thread usemao,Wewe humjui mwamba yule. Saa hizi kakodoa macho kwenye infinix yake anaandika uzi wa jinsi mama alivyowatoa watanzania machozi ya furaha kwenda Ethiopia baada ya kuzika tu🤣
Jamaa huwa akiandika uzi JF ana vibweka sana.Utadhani yupo UNSC anahutubia.Ataanza..."Ndugu zangu blah blah blah"...!Anakuwa ameshashiba maparachichi kakaa chini ya mti muda huo.Luca kiboko!Wewe humjui mwamba yule. Saa hizi kakodoa macho kwenye infinix yake anaandika uzi wa jinsi mama alivyowatoa watanzania machozi ya furaha kwenda Ethiopia baada ya kuzika tu🤣
Tayari Jeshi la polisi limeahidi kulinda Maandamano ya Chadema na wananchi na kwamba hali ya usalama itaimarishwa .[emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 2908061
Ndio kama mlivyosikia , Tayari viongozi wa Chadema Wameanza kuingia Mbeya , ukiangalia Mbeya leo unaona kabisa kwamba kuna shangwe fulani zimeanza mitaani , watu ni wengi kiasi kuliko Jumapili nyingine .
Tayari Jeshi la polisi limeahidi kulinda Maandamano ya Chadema na wananchi na kwamba hali ya usalama itaimarishwa .
RATIBA KAMILI ya ruti za maandamano hayo hii hapa
Mbalizi - Ruanda Nzovwe
Uyole - Ruanda Nzovwe
Isanga - Ruanda Nzovwe
Sisi watoto wenu wa Chadema tumerudi nyumbani , tunawaomba sana Wazee wetu mtupokee na mtuunge mkono , Ndaga Fijo
Jiandaeni Arusha msituangushe Watz.Ndaga fijooooo....
Kunanntu kanuna balaaa...
Mkutano wa hadhara viwanja vya Rwanda NzovwePatakuwa na mkutano wa hadhara kama Mza baada ya maandamano?
Mdude atafurahi sana.Mkutano wa hadhara viwanja vya Rwanda Nzovwe
Tumeshauri gali za Matangazo zianze Kesho....amsha amsha...ili hata sisimizi wapate TaarifaJiandaeni Arusha msituangushe Watz.
Hadi sasa Jiji la Mza linaongoza, likifuatiwa na Dar!!
Amepangwa kuombea mkutanoMdude atafurahi sana.
Msisahau kumwalika Mchungaji Mbarikiwa atoe neno la shukrani Kwa CDM kumpazia sauti.
Eeeee bhana EeeeTumeshauri gali za Matangazo zianze Kesho....amsha amsha...ili hata sisimizi wapate Taarifa
Kanda za Arusha zigawanywe..
Mrombo Olasitee Majengo Mbauda Kisongo Monduli tukutane Kona ya Mbauda ...kwa mrombo mkusanyiko unaweza kuanzia sokoni mrombo
Ngaramtoni na vitongoji vyake mguu kutokea ngara uzowe kwa Iddi na azimio sakina breki Tekiniko kuusubiri msafara wa Mrombo
Ilboru Elkidinga Mianzini tukutanee Mataa mianzini
Usa Tengeru Ngurero mguu kwa mguu tuwasombe sekei arumeru pale Novotel mafuriko yawasombe Sanawari breki Mianzini mataa kukutana na nyomi kuelekea Relini
Kijenge Mwanama chekereni njiro.....Impala
Ungalimitedi Dampo...
Sombetini....
Babati Kateshi Mbulu Karatu Loliondo Mto wa Mbu...Magharibi
Namanga Longido.....Kaskazini
Kiteto Simanjiro Naberera Kimotoro ...KUSIN
East Tanga Moshi
Arusha ITASIMAMA kishindo mpaka Kalema Mpanda
Hiyo ni 🔥, maridhiano Uchwara yalituchelewesha.Tumeshauri gali za Matangazo zianze Kesho....amsha amsha...ili hata sisimizi wapate Taarifa
Kanda za Arusha zigawanywe..
Mrombo Olasitee Majengo Mbauda Kisongo Monduli tukutane Kona ya Mbauda ...kwa mrombo mkusanyiko unaweza kuanzia sokoni mrombo
Ngaramtoni na vitongoji vyake mguu kutokea ngara uzowe kwa Iddi na azimio sakina breki Tekiniko kuusubiri msafara wa Mrombo
Ilboru Elkidinga Mianzini tukutanee Mataa mianzini
Usa Tengeru Ngurero mguu kwa mguu tuwasombe sekei arumeru pale Novotel mafuriko yawasombe Sanawari breki Mianzini mataa kukutana na nyomi kuelekea Relini
Kijenge Mwanama chekereni njiro.....Impala
Ungalimitedi Dampo...
Sombetini....
Babati Kateshi Mbulu Karatu Loliondo Mto wa Mbu...Magharibi
Namanga Longido.....Kaskazini
Kiteto Simanjiro Naberera Kimotoro ...KUSIN
East Tanga Moshi
Arusha ITASIMAMA kishindo mpaka Kalema Mpanda
Mungu awababariki Lissu, kamanda Mwabukusi Kwa kumpazia sauti Mchungaji Mbarikiwa!!Amepangwa kuombea mkutano