wewe ynawaelewaga watu gani?wauza pembe za ndovu?kushindwa kumwelewa mtu inawezekana wewe ndo mgumu kuelewa
Hibi huwa hamuoni aibu mnapopanda jukwaani kuongea pumba?
Mtasemaje kuwa mtauza ndge ya rais wakati mnatumia hela za masikini kukodi chopa kwenda mijini kunakopitika na barabara nzuri za lami?
Nyie watu ni matapeli hatari sana na tuthakikisha kuwa watanzania wanawaumbua
Hoja iko wapi mkuu? naona maandishi ya kanga tu!Hakuna aliyejibu hata mmoja inathibitisha udhaifu wenu. Na sikutegemea kama kuna watu wenye akili finyu kama wale wanaochangia kwa kuponda.
twendeni kwenye hoja
Lukosi Kubwa jinga mzee wa rambirambi! ulifukuzwa chadema,ni faida ya usaliti imekufisha hapo,takataka na wanafiki kama wewe hamna nafasi chaema,unaishi ughaibuni halafu bado unakuwa unakuwa -----!Hibi huwa hamuoni aibu mnapopanda jukwaani kuongea pumba?
Mtasemaje kuwa mtauza ndge ya rais wakati mnatumia hela za masikini kukodi chopa kwenda mijini kunakopitika na barabara nzuri za lami?
Nyie watu ni matapeli hatari sana na tuthakikisha kuwa watanzania wanawaumbua
Sorry nilitaka kuandika kikuryahibi manake ndio nini mkuu
Mnafki mkubwa ww unafikir chadema ni kama magamba?Moja ya Sera zao ni kwamba wakiingia Ikulu watauza Magari ya kifahari na kuipiga mnada ndege ya Rais.
- Mbona wao wanatumia helikopta kwa Mikutano yao, hawaoni kuwa ni gharama pia, c wangetumia magari ili kuokoa fedha za chama?
- Halafu lile suala la kusema msafara wa viongozi unakuwa na Magari mengi... Najaribu kumtazama mbowe ambaye kwenye Serikali hii bado hana cheo zaidi ya ubunge na kiongozi wa Kambi ya Upinzani... lakini ukimuona kwenye safari zake unakuta yuko na watu ambao ni kama wako tension nae (wanausalama wake) as if ana kacheo fulani ikulu au kama mtu mmoja muhimu sana kwa taifa hili. Hivi huyu akiwa na cheo cha kulazimika kuwa na msafara si itakuwa Balaa. ana tension ambazo hazina ulazima sana.
Tunachangisha pesa kutoka kwa wananchi wenye kipato cha chini na wanajitahidi kutoa kwa kweli watanzania wa watu.
- wananchi hawa tunatambua ni masikini, lakini kwa mapenzi yao mema wanaamua kukichangia chama hichi ili kuonyesha uzalendo wao. Nyie sasa ambao mna mishahara, posho, miradi binafsi nk. mbona sijawahi kusikia mmetoa pesa kwa ajili ya chama chenu zaidi ya kusikia mlitoa hela mkakikopesha chama. hivi hawa masikini wanaotoa wao hawajui kukopesha? Kwanini msifanye kila mtu kwa moyo?
NOTE: Mimi ni Mtanzania siko upande wowote wa chama cha siasa.
SITAKI UNAFIKI KWENYE UZI HUU, KAMA HUNA MAJIBU KAA KIMYA, NAPENDA NIELEWESHWE, NA WENGINEO WAELEWE KUHUSU HOJA HIZI. WENYE FIKRA POTOFU PIA WAELEWE.
Mnafki mkubwa ww unafikir chadema ni kama magamba?
Watanzania wenzangu tunapenda kushabiki vyama pila kujua ndio maana tunajibu hoja kishabiki, kufika tunako enda kujenga taifa bado miaka mingi.
Moja ya Sera zao ni kwamba wakiingia Ikulu watauza Magari ya kifahari na kuipiga mnada ndege ya Rais.
- Mbona wao wanatumia helikopta kwa Mikutano yao, hawaoni kuwa ni gharama pia, c wangetumia magari ili kuokoa fedha za chama?
- Halafu lile suala la kusema msafara wa viongozi unakuwa na Magari mengi... Najaribu kumtazama mbowe ambaye kwenye Serikali hii bado hana cheo zaidi ya ubunge na kiongozi wa Kambi ya Upinzani... lakini ukimuona kwenye safari zake unakuta yuko na watu ambao ni kama wako tension nae (wanausalama wake) as if ana kacheo fulani ikulu au kama mtu mmoja muhimu sana kwa taifa hili. Hivi huyu akiwa na cheo cha kulazimika kuwa na msafara si itakuwa Balaa. ana tension ambazo hazina ulazima sana.
Tunachangisha pesa kutoka kwa wananchi wenye kipato cha chini na wanajitahidi kutoa kwa kweli watanzania wa watu.
- wananchi hawa tunatambua ni masikini, lakini kwa mapenzi yao mema wanaamua kukichangia chama hichi ili kuonyesha uzalendo wao. Nyie sasa ambao mna mishahara, posho, miradi binafsi nk. mbona sijawahi kusikia mmetoa pesa kwa ajili ya chama chenu zaidi ya kusikia mlitoa hela mkakikopesha chama. hivi hawa masikini wanaotoa wao hawajui kukopesha? Kwanini msifanye kila mtu kwa moyo?
NOTE: Mimi ni Mtanzania siko upande wowote wa chama cha siasa.
SITAKI UNAFIKI KWENYE UZI HUU, KAMA HUNA MAJIBU KAA KIMYA, NAPENDA NIELEWESHWE, NA WENGINEO WAELEWE KUHUSU HOJA HIZI. WENYE FIKRA POTOFU PIA WAELEWE.
Sorry nilitaka kuandika kikurya
Kuhusu suala la kuuza ndege ya rais kiukweli hapo pana utata sana ninahisi labda wameona inatumia gharama kubwa mafuta yake na service kwa ukubwa wake maybe wanataka wanunue ya kawaida itakayokuwa inaendana na gharama za nchi ila hizi ni hisia tu.
kwenye magari inawezekana kwasababu kila mtumishi anatumi V8 ambazo gharama zake ni kubwa kmanunuzi kihuduma na mafuta yake ni ghali sana na ni mengi sana hivyo gharama ni kubwa.
kuhusu kutembea na mabody guard ni kutokana na hali ya sasa kisiasa kuna vyama siasa wanadhani ni uadui hivyo ni lazma wajihami sana kwa tahadhari na kwa kawaida Mbowe huwa na mabody guard anapoenda kwenye mikutano ya hadhara kwasababu anajua vyama hutumia fursa hyo kufanya vurugu.
Kuwaelewa CDM ni kazi sana mpaka uwe na elimu ya kutosha.
katika wote mkuu wewe ndiye umenijibu vizuri na hata mtu mwingine anaweza kuelewa. sio wengine wanaokurupuka. naomba nitulie kidogo ili nikuulize kwenye utata kutoka na majibu.
moja ya sera zao ni kwamba wakiingia ikulu watauza magari ya kifahari na kuipiga mnada ndege ya rais.
- mbona wao wanatumia helikopta kwa mikutano yao, hawaoni kuwa ni gharama pia, c wangetumia magari ili kuokoa fedha za chama?
- halafu lile suala la kusema msafara wa viongozi unakuwa na magari mengi... Najaribu kumtazama mbowe ambaye kwenye serikali hii bado hana cheo zaidi ya ubunge na kiongozi wa kambi ya upinzani... Lakini ukimuona kwenye safari zake unakuta yuko na watu ambao ni kama wako tension nae (wanausalama wake) as if ana kacheo fulani ikulu au kama mtu mmoja muhimu sana kwa taifa hili. Hivi huyu akiwa na cheo cha kulazimika kuwa na msafara si itakuwa balaa. Ana tension ambazo hazina ulazima sana.
tunachangisha pesa kutoka kwa wananchi wenye kipato cha chini na wanajitahidi kutoa kwa kweli watanzania wa watu.
- wananchi hawa tunatambua ni masikini, lakini kwa mapenzi yao mema wanaamua kukichangia chama hichi ili kuonyesha uzalendo wao. Nyie sasa ambao mna mishahara, posho, miradi binafsi nk. Mbona sijawahi kusikia mmetoa pesa kwa ajili ya chama chenu zaidi ya kusikia mlitoa hela mkakikopesha chama. Hivi hawa masikini wanaotoa wao hawajui kukopesha? Kwanini msifanye kila mtu kwa moyo?
note: mimi ni mtanzania siko upande wowote wa chama cha siasa.
sitaki unafiki kwenye uzi huu, kama huna majibu kaa kimya, napenda nieleweshwe, na wengineo waelewe kuhusu hoja hizi. Wenye fikra potofu pia waelewe.