Viongozi wa CHADEMA SIWAELEWI labda wanachama mnisaidie

Mkuu kwanza niwie radhi kwakuwa nilikuona ni mtu anayejitaidi kutunga hoja kati ya magamba wenzako kumbe uu mwepesi tu kama wenzio.

Back to the topic, Chadema hutumia Chopa kuwafikia watanzania walio wengi ndani ya muda mfupi na kuwapa elimu ya uraiya include life skill. Na hili linajidhiirisha wazi kwa Watanzania wengi kujitokeza kwenye mikutano ya Chadema na wengi wao sasa wamejitambua na hilo la elimu ya uraiya litajidhiirisha zaidi pala serikali itakapolifanyima maboresho daftari la kupigia kura.

Na ieleweke Ni chadema pekee iliyoweza kufanya mikutano 87 mikubwa ya siasa (kutoa elimu ya uraiya) nchini Tanzania ndani ya muda mfupi wa siku 7 tu.

Kuhusu ndege ya Raisi kuuzwa ni wazi kuwa safari za mkuu wa nchi zimekuwa nyingi na hazina tija kwa mtanzania wa hali ya chini na kati, Zaidi ndege hiyo imekuwa ni sehemu ya sababu ya raisi kusafiri ata safari zisizo kuwa na ulazima kisa ndege ipo. Na kwahabari za kuaminika na kueleweka ndege hiyo imesababisha Mkuu wa Nchi kuishi nje ya Nchi takribani miaka miwili ndani ya uwongozi wa miaka nane.

Kujibu hoja na kujenga hoja ndio tabaduni za Jf sio vioja mlivyovizoeya huko Limumba.

Duuh, Waswahili wanasema " Nyani haoni kundule", kwahiyo wewe unahalilisha Chadema kutumia Chopa angani bila kufikiri gharama zake

Kweli nimeamini "Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha"
 
Jenga hoja na sio vioja.
 
Ungesema Viongozi wa Tanzania siwaelewi ................. kidogo ingeingia akilini?? Lakini kama umeweza kuwaelewa viongozi wa CCM ........... napata shida kukuelewa unashindwaje kuwaelewa viongozi wa CDM!!

u r very right
 
Wee mburula unatumia ------ kufikiri?tatizo mda,wangetumia magari wasingewafikia wananchi wote.
 
Nimeanza kuamini kuwa kuna MISUKULE YA SIASA, kama inaendeshwa kwa Rimoti. Nilijua ni CCM pekeyao kumbe hata Chadema mpo wengi kiasi hiki. Nimeleta hoja mjibu halafu mnaanza propaganda. Mtaendelea kuburuzwa hivyohivyo.
 
Wee mburula unatumia ------ kufikiri?tatizo mda,wangetumia magari wasingewafikia wananchi wote.

huo muda, wameutambua lini? kwanini wasigawanyike sehemu nyingi? Je katika kile wanachohutubia kule asilimia ngapi wanaongea kuhusu katiba mpya? zaidi ni vijembe.
 
Moja ya Sera zao ni kwamba wakiingia Ikulu watauza Magari ya kifahari na kuipiga mnada ndege ya Rais.
  • Mbona wao wanatumia helikopta kwa Mikutano yao, hawaoni kuwa ni gharama pia, c wangetumia magari ili kuokoa fedha za chama?

  • Halafu lile suala la kusema msafara wa viongozi unakuwa na Magari mengi... Najaribu kumtazama mbowe ambaye kwenye Serikali hii bado hana cheo zaidi ya ubunge na kiongozi wa Kambi ya Upinzani... lakini ukimuona kwenye safari zake unakuta yuko na watu ambao ni kama wako tension nae (wanausalama wake) as if ana kacheo fulani ikulu au kama mtu mmoja muhimu sana kwa taifa hili. Hivi huyu akiwa na cheo cha kulazimika kuwa na msafara si itakuwa Balaa. ana tension ambazo hazina ulazima sana.

Tunachangisha pesa kutoka kwa wananchi wenye kipato cha chini na wanajitahidi kutoa kwa kweli watanzania wa watu.
  • wananchi hawa tunatambua ni masikini, lakini kwa mapenzi yao mema wanaamua kukichangia chama hichi ili kuonyesha uzalendo wao. Nyie sasa ambao mna mishahara, posho, miradi binafsi nk. mbona sijawahi kusikia mmetoa pesa kwa ajili ya chama chenu zaidi ya kusikia mlitoa hela mkakikopesha chama. hivi hawa masikini wanaotoa wao hawajui kukopesha? Kwanini msifanye kila mtu kwa moyo?

NOTE: Mimi ni Mtanzania siko upande wowote wa chama cha siasa.

SITAKI UNAFIKI KWENYE UZI HUU, KAMA HUNA MAJIBU KAA KIMYA, NAPENDA NIELEWESHWE, NA WENGINEO WAELEWE KUHUSU HOJA HIZI. WENYE FIKRA POTOFU PIA WAELEWE.
​

Mkuu usitegemee majibu/hoja kutoka Bavicha... Hapa unaambulia matusi tu. Hawa hawataki kukosolewa kabisa.
 
SITAKI UNAFIKI KWENYE UZI HUU
???
Mimi ni Mtanzania siko upande wowote wa chama cha siasa.
Hapo sasa! Kwa ufahamisho tu huu ndio unafiki tunoupiga vita sisi wengine. Yaani hapa tulipofikia kama Watanzania utasemaje huna upande? Ama unaridhika na hii hali au huridhiki, ama unaunga mkono mfumo au huungi mkono na ama wewe ni CCM au upinzani; kudai huna upande wowote ni unafiki na kutokuwa mkweli ndani ya nafsi yako au woga umetawala roho yako...kumbuka wewe ni binadamu na si popo!
 
Hibi huwa hamuoni aibu mnapopanda jukwaani kuongea pumba?

Mtasemaje kuwa mtauza ndge ya rais wakati mnatumia hela za masikini kukodi chopa kwenda mijini kunakopitika na barabara nzuri za lami?

Nyie watu ni matapeli hatari sana na tuthakikisha kuwa watanzania wanawaumbua

Rambi rambi vipi? Zishafika au ndo zimezama kama zile za EPA!!!!!
 
Moja ya Sera zao ni kwamba wakiingia Ikulu watauza Magari ya kifahari na kuipiga mnada ndege ya Rais.
  • Mbona wao wanatumia helikopta kwa Mikutano yao, hawaoni kuwa ni gharama pia, c wangetumia magari ili kuokoa fedha za chama?

  • Halafu lile suala la kusema msafara wa viongozi unakuwa na Magari mengi... Najaribu kumtazama mbowe ambaye kwenye Serikali hii bado hana cheo zaidi ya ubunge na kiongozi wa Kambi ya Upinzani... lakini ukimuona kwenye safari zake unakuta yuko na watu ambao ni kama wako tension nae (wanausalama wake) as if ana kacheo fulani ikulu au kama mtu mmoja muhimu sana kwa taifa hili. Hivi huyu akiwa na cheo cha kulazimika kuwa na msafara si itakuwa Balaa. ana tension ambazo hazina ulazima sana.

Tunachangisha pesa kutoka kwa wananchi wenye kipato cha chini na wanajitahidi kutoa kwa kweli watanzania wa watu.
  • wananchi hawa tunatambua ni masikini, lakini kwa mapenzi yao mema wanaamua kukichangia chama hichi ili kuonyesha uzalendo wao. Nyie sasa ambao mna mishahara, posho, miradi binafsi nk. mbona sijawahi kusikia mmetoa pesa kwa ajili ya chama chenu zaidi ya kusikia mlitoa hela mkakikopesha chama. hivi hawa masikini wanaotoa wao hawajui kukopesha? Kwanini msifanye kila mtu kwa moyo?

NOTE: Mimi ni Mtanzania siko upande wowote wa chama cha siasa.

SITAKI UNAFIKI KWENYE UZI HUU, KAMA HUNA MAJIBU KAA KIMYA, NAPENDA NIELEWESHWE, NA WENGINEO WAELEWE KUHUSU HOJA HIZI. WENYE FIKRA POTOFU PIA WAELEWE.
​

Umejuaje kuwa wanaochanga hela huwa ni masikini?, mimi mbona niliwahi kuchanga na mimi sio masikini?
 
Kiukweli wanaongea tu si watekelezaji wa hayo wanayo yaubiri,
mfano:- mbowe alishawahi kutangaza kwa mbwembwe sana kuacha kutumia gari ile ya kifahari ya kiongozi wa upinzani kwa madai ya matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii, cha ajabu muda si mrefu akairudia kimya kimya na kuendelea kuitumia
kuhusiana na michango ya pesa ya wanainchi wanaokichangia chama cha Cdm ni wajinga waliwao, kwani hata mwenyekiti mwenyewe hakichangii ispokua anakikopesha na baadae hujilipa kupitia ruzuku wanazopata
 
Chadema wanatumia fedha za ruzuku na michango ya wakeleketwa kufanya kazi ya siasa na ndio lengo la fedha hizo, kinachosikitisha ni serikali kutumia fedha za walipakodi na wafadhiri ambazo lengo lake ni kupeleka huduma za jamii kwa wananchi kutembelea ktk mashangingi na kulipana posho za kufanya midahalo isiyo na tija. Kujenga hospitali kijijini hakuitaji semina wala shangingi
 
mtoa hoja labda nikujibu baadhi ya maswali ingawa nimekufutilia namna unavyopokea majibu yanayotolewa na wadau unaonekana hutakubaliana na yeyote, kwani inaonekana wewe tatizo sio chopa bali maudhui ya mikutano hiyo.kwani unalalamika kwamba viongoz wa cdm wanapiga vijembe sijui ni vijembe gani tunaomba uvitaje
come back to the topic suala la kufanya mikutano kwa chopa ni jambo la mhimu mno na hii inatokana na jiografia ya nchi yetu ni kubwa.pili,ingawa ni hisia zangu ccm ni wajanja sana mikutano ya cdm huwa inavurugwa na hasa mikutano itakayochukua muda nina maana ya kutumia usafir wa magari refer mwangosi opereshin iriairishwa sasa cdm wanatumia chopa ambapo ccm watashituka tiyari cdm imezunguka nchi nzima
 
???

Hapo sasa! Kwa ufahamisho tu huu ndio unafiki tunoupiga vita sisi wengine. Yaani hapa tulipofikia kama Watanzania utasemaje huna upande? Ama unaridhika na hii hali au huridhiki, ama unaunga mkono mfumo au huungi mkono na ama wewe ni CCM au upinzani; kudai huna upande wowote ni unafiki na kutokuwa mkweli ndani ya nafsi yako au woga umetawala roho yako...kumbuka wewe ni binadamu na si popo!

Nina uwezo wa kumtambua yupi ananifaa na yupi hanifai. Sina kadi ya chama chochote, pia kutokana na kazi yangu kutoruhusu kuwa na ushabiki wa chama chochote cha siasa ili mambo yaende.
 
Umejuaje kuwa wanaochanga hela huwa ni masikini?, mimi mbona niliwahi kuchanga na mimi sio masikini?

Wewe sio masikini sawa lakini ulichangia sh ngap? na mara ngapi? usikute hela uliyochangia ni nusu ya aliyochangia mlalahoi
 
Kiukweli wanaongea tu si watekelezaji wa hayo wanayo yaubiri,
mfano:- mbowe alishawahi kutangaza kwa mbwembwe sana kuacha kutumia gari ile ya kifahari ya kiongozi wa upinzani kwa madai ya matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii, cha ajabu muda si mrefu akairudia kimya kimya na kuendelea kuitumia
kuhusiana na michango ya pesa ya wanainchi wanaokichangia chama cha Cdm ni wajinga waliwao, kwani hata mwenyekiti mwenyewe hakichangii ispokua anakikopesha na baadae hujilipa kupitia ruzuku wanazopata

usikute wakati anatangaza kutotumia alikuwa anaweka mafuta kwa hela zake. Sasahivi hela za chama haoni hasara, ikifika hela ya serikali sasa… ndo tutakula nyasi ilimradi atembelee chopa.
 
Utawezaje kuwaelewa hao viongozi makamanda wakati wewe mwenyewe hueleweki.
 
mtoa hoja labda nikujibu baadhi ya maswali ingawa nimekufutilia namna unavyopokea majibu yanayotolewa na wadau unaonekana hutakubaliana na yeyote, kwani inaonekana wewe tatizo sio chopa bali maudhui ya mikutano hiyo.kwani unalalamika kwamba viongoz wa cdm wanapiga vijembe sijui ni vijembe gani tunaomba uvitaje
come back to the topic suala la kufanya mikutano kwa chopa ni jambo la mhimu mno na hii inatokana na jiografia ya nchi yetu ni kubwa.pili,ingawa ni hisia zangu ccm ni wajanja sana mikutano ya cdm huwa inavurugwa na hasa mikutano itakayochukua muda nina maana ya kutumia usafir wa magari refer mwangosi opereshin iriairishwa sasa cdm wanatumia chopa ambapo ccm watashituka tiyari cdm imezunguka nchi nzima

Naelewa sana mkuu. kuna mtu alisema wanawahi muda wa katiba mpya na maeneo ni mengi.
Ndio nikasema mbona maudhui ya hotuba zao hayapo katika kuzungumzia katiba mpya zaidi ya vijembe? Kwanin wasitazame zaidi elimu ya katiba?
 
Back
Top Bottom