Mandingo Nyeti
Senior Member
- Jan 26, 2014
- 182
- 49
Ww ndio mnafiki kama hunachama nenda lumumba
Upinzani Ni UTAHIRA!
Ww ndio mnafiki kama hunachama nenda lumumba
Ungelikuwa makini...huna haja ya kuyasema hayo. Kauli na maandishi yako yenyewe yatawajuza watu makini wakujue wewe ni mtu wa aina gani na kama unastahili attention unayoitaka.
Siku nyingine ukijenga hoja epuka kuonesha alama za kuogopa changamoto ya kuhojiwa juu ya hoja zako. Huna haja ya kusema 'itaonekana yenyewe'. Vinginevyo unakuwa unaweka vingingi kwenye ulimi kuisukuma hoja yako, badala ya hoja ijisukume. Unajenga tayari kudhaniwa au kufikiriwa vile ambavyo hukutaka udhaniwe wala ufikiriwe. Upo?
Anyway maswali yako yanajibika vizuri kweli kweli. Majibu mengine yako jamvini humu humu kwenye minakasha mbalimbali. Utajibiwa.
Moja ya Sera zao ni kwamba wakiingia Ikulu watauza Magari ya kifahari na kuipiga mnada ndege ya Rais.
- Mbona wao wanatumia helikopta kwa Mikutano yao, hawaoni kuwa ni gharama pia, c wangetumia magari ili kuokoa fedha za chama?
- Halafu lile suala la kusema msafara wa viongozi unakuwa na Magari mengi... Najaribu kumtazama mbowe ambaye kwenye Serikali hii bado hana cheo zaidi ya ubunge na kiongozi wa Kambi ya Upinzani... lakini ukimuona kwenye safari zake unakuta yuko na watu ambao ni kama wako tension nae (wanausalama wake) as if ana kacheo fulani ikulu au kama mtu mmoja muhimu sana kwa taifa hili. Hivi huyu akiwa na cheo cha kulazimika kuwa na msafara si itakuwa Balaa. ana tension ambazo hazina ulazima sana.
Tunachangisha pesa kutoka kwa wananchi wenye kipato cha chini na wanajitahidi kutoa kwa kweli watanzania wa watu.
- wananchi hawa tunatambua ni masikini, lakini kwa mapenzi yao mema wanaamua kukichangia chama hichi ili kuonyesha uzalendo wao. Nyie sasa ambao mna mishahara, posho, miradi binafsi nk. mbona sijawahi kusikia mmetoa pesa kwa ajili ya chama chenu zaidi ya kusikia mlitoa hela mkakikopesha chama. hivi hawa masikini wanaotoa wao hawajui kukopesha? Kwanini msifanye kila mtu kwa moyo?
NOTE: Mimi ni Mtanzania siko upande wowote wa chama cha siasa.
SITAKI UNAFIKI KWENYE UZI HUU, KAMA HUNA MAJIBU KAA KIMYA, NAPENDA NIELEWESHWE, NA WENGINEO WAELEWE KUHUSU HOJA HIZI. WENYE FIKRA POTOFU PIA WAELEWE.
Hakuna aliyejibu hata mmoja inathibitisha udhaifu wenu. Na sikutegemea kama kuna watu wenye akili finyu kama wale wanaochangia kwa kuponda.
twendeni kwenye hoja
Acha kutokwa na mipovu mdomoni, jamaa ametoa hoja zake ZIJIBU, kama huwezi funga bakuli lako Period!

Hakuna aliyejibu hata mmoja inathibitisha udhaifu wenu. Na sikutegemea kama kuna watu wenye akili finyu kama wale wanaochangia kwa kuponda.
twendeni kwenye hoja
huna hoja ya msingi ya kujibu,unajaza saver tu kwa hizi pumba zako!
Ni vizuri kuendelea kuota chadema. Kutumia helikopta kipindi hiki ni lazima ili chama kieleweke katika kona zote za nchi hii na hili ni zoezi la muda tu. Serikali ya cdm haihitaji haya mashangingi yanayomeza nyingi sana kuyaweka barabarani. Magari ya kawaida tu yanatosha na maisha yatakwenda.
Huenda sehemu ya misafara ya mkiti ni mashabiki kwani sidhani wanakuwa wamepanga safari yenye magari lukuki!
Kutoa ni moyo na mtoaji ndiye anayejua kwa nini anatoa. Anayepokea lazima ajue kuna kazi ya kufanya ili kuleta mabadiliko nchini kinyume na hapo ni kuwajibishwa tu.
Hibi huwa hamuoni aibu mnapopanda jukwaani kuongea pumba?
Mtasemaje kuwa mtauza ndge ya rais wakati mnatumia hela za masikini kukodi chopa kwenda mijini kunakopitika na barabara nzuri za lami?
Nyie watu ni matapeli hatari sana na tuthakikisha kuwa watanzania wanawaumbua
Nachukia sana chalenge za watoto wa mafisadi kama hawa!