Viongozi wa CHADEMA ni hawa tu, John Mnyika, Dr Slaa, Freeman Mbowe, Godbless Lema

Status
Not open for further replies.
Wanaukumbi,

Ni vizuri Watanzania wote tuwe na ujasiri wa kuwaambia ukweli hawa ndugu zetu wa Chadema, ukiangalia hali ya kisiasa ndani ya Chadema utaona kabisa baadhi ya viongozi wa Chadema hawana dhamira nzuri baada ya kuteka madaraka ya chama.

Kuna kikundi cha watu wanne tu ndani ya Chadema ndiyo wenye nguvu ya kuiendesha Chadema, katika utendaji wake wa kila siku, Dr Slaa, Freeman Mbowe, Godbless Lema, John Mnyika.

Kuna wabunge wa Chadema pamoja na viongozi wa Chadema hawa wanaonekana tu kwenye ukumbi wa bunge peke yake, hili kundi likipeleka M4C kwenye majimbo kwa ajili ya kuchangisha pesa M4C hawa wabunge huwa hawana nafasi yoyote ya kuhoji achilia mbali michango ya M4C.

Hebu tuwaangalie hawa wabunge kwa uchache majina yao na majimbo yao.

1) Salvatory Machemuli Jimbo la Ukwerewe.

2) Antony Mbasa Jimbo la Biharamulo.

3) John Shibuda Maswa Magharibi.

4) Syvester Kasulimbayi Mhoja Maswa Mashariki.

5) Mustaph Akonaay Mbulu.

6) David Silinde Mbozi Magharibi.

7) Zitto Kabwe Kigoma Kaskazini.

8) Said Arfi Mpanda Mjini.

Ukiangalia hawa viongozi wawili wa Chadema, Makamu Mwenyekiti Taifa Said Arfi, hawajahi kufanya kazi za chama, Mbowe akisafiri anamuachia ofisi John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, naye ana miaka mingi hajawahi kufanya kazi za chama kiofisi, Dr Slaa akisafiri anamuachia ofisi John Mnyinka.
Ritz it's all about division of labour!.
 
Last edited by a moderator:
Udini is a primitive behavior. Only savages can afford to be wadini.
Jiulize kwa nini muanzisha mada hii ameianzisha. Jiulize kwa nini ametaja majina aliyotaja. Jiulize kwa nini Arfi na Zitto wanasemewa kuwa hawafanyi kazi za chama. Ni bora kuwa wazi na kuita a spade a spade. Lengo la mada hii ni kuonesha kuwa CHADEMA inabagua viongozi WAISLAMU. Huu ni wimbo wa kila siku, na wanaouimba hauoni kuwa ni wadini. Ukweli unauma.
 
Udini is primitive...
 
Udini is primitive...
Udini is a primitive behavior. Only savages can afford to be wadini.
Jiulize kwa nini muanzisha mada hii ameianzisha. Jiulize kwa nini ametaja majina aliyotaja. Jiulize kwa nini Arfi na Zitto wanasemewa kuwa hawafanyi kazi za chama. Ni bora kuwa wazi na kuita a spade a spade. Lengo la mada hii ni kuonesha kuwa CHADEMA inabagua viongozi WAISLAMU. Huu ni wimbo wa kila siku, na wanaouimba hauoni kuwa ni wadini.
Ukiangalia hawa viongozi wawili wa Chadema, Makamu Mwenyekiti Taifa Said Arfi, hawajahi kufanya kazi za chama, Mbowe akisafiri anamuachia ofisi John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, naye ana miaka mingi hajawahi kufanya kazi za chama kiofisi, Dr Slaa akisafiri anamuachia ofisi John Mnyinka.
Ukweli unauma.
 
Jiulize kwa nini muanzisha mada hii ameianzisha. Jiulize kwa nini ametaja majina aliyotaja. Jiulize kwa nini Arfi na Zitto wanasemewa kuwa hawafanyi kazi za chama. Ni bora kuwa wazi na kuita a spade a spade. Lengo la mada hii ni kuonesha kuwa CHADEMA inabagua viongozi WAISLAMU. Huu ni wimbo wa kila siku, na wanaouimba hauoni kuwa ni wadini. Ukweli unauma.

Wanaanzisha mada afu ziki backfire wanaanza kurukana, utawaona..
 
Udini is primitive...
Kama huu
Ukiangalia hawa viongozi wawili wa Chadema, Makamu Mwenyekiti Taifa Said Arfi, hawajahi kufanya kazi za chama, Mbowe akisafiri anamuachia ofisi John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, naye ana miaka mingi hajawahi kufanya kazi za chama kiofisi, Dr Slaa akisafiri anamuachia ofisi John Mnyinka.
 
Mkuu, umeambiwa kuwa hao wengine ni wa kuchangisha fedha za M4C tu. kazi za chama zipo mikononi mwa hao wanne tu. wengine wameingia kwa bahati mbaya tu
Mzee Mangula yuko wapi, mzee wa Ndovu nae baada ya ile kashfa ya kuwang'oa meno ndovu hasikiki kabisa, amebaki Nape tu na Nchemba, hata nape kwa nadra sana.

Inawezekana hao wengine wako kwenye dili za poda uchaguzi umekaribia.
 
Mbona hutujawahi kumsikia makamu wa rais akitoa hotuba ya mwisho wa mwezi wakati bbayako akipiga misele ughaibuni? Kwa hiyo kazi ya Bilally ni kuzindua miradi kwa kukata utepe tuu?
 
Mada hii kwa kifupi inataka kusema kuwa wanaofanya kazi za CHADEMA ni viongozi wa dini moja. Mada hii inasisitiza kuwa viongozi wa dini nyingine wanabaguliwa.
Ukiangalia hawa viongozi wawili wa Chadema, Makamu Mwenyekiti Taifa Said Arfi, hawajahi kufanya kazi za chama, Mbowe akisafiri anamuachia ofisi John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe , naye ana miaka mingi hajawahi kufanya kazi za chama kiofisi, Dr Slaa akisafiri anamuachia ofisi John Mnyinka.
UKWELI ni kuwa sisi WAISLAMU ndani ya CCM hatufurahi kuwaona Arfi na Zitto kwenye safu ya uongozi wa CHADEMA. Tunataka kuwachonganisha hawa na wenzao. Pia daima tutawashambulia Slaa, Mnyika na Lema. Ila hata siku moja hatutamshambulia Zitto, na akishambuliwa tutamlinda kwa nguvu zote.
 
Ritz umeamka na hii kitu

1098249_134948710048895_1339304108_n.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom