Viongozi wa CHADEMA Iramba wakamatwa na polisi

Lile gari limepita kama trip 5 hivi limejaa watu,pamoja na noah zilikua na mstari mwekundu ila mkutano ulienda vizuri na ulifungwa saa 12:55 jioni.

mbona wanasema mwigulu ni maarufu ! Kumbe uongo ! Bila MAFUSO HAKUNA CHOCHOTE !
 
Hawa jamaa inabidi serikali iwajengee sero yao wenyewe.

Kwa nini wanapenda sana kwenda huko?

Kuna kitu gani wanaking'ang'ania huko? halafu wakitoka utaona nyuso zao zina furaha kweli kama vile wamefikishwa kwenye raha vile??

Ha ha ha haaaaaaa!, muulize Lema anajua raha ya selo. Huko ni 0713....... tu, akitoka ni full kutabasamu!
 
Hawa jamaa inabidi serikali iwajengee sero yao wenyewe.

Kwa nini wanapenda sana kwenda huko?

Kuna kitu gani wanaking'ang'ania huko? halafu wakitoka utaona nyuso zao zina furaha kweli kama vile wamefikishwa kwenye raha vile??

Unauliza maswali kama unaliwa vile. kwanini nawe usiema we mama
 
Inamaana hii haijamsaidia? Kweli ndio maana Shetani pamoja na raha zote za Mbinguni bado aliasi. Haaminiki kabisa.
ImageUploadedByJamiiForums1393055275.225817.jpg
 
Hawa jamaa inabidi serikali iwajengee sero yao wenyewe.

Kwa nini wanapenda sana kwenda huko?

Kuna kitu gani wanaking'ang'ania huko? halafu wakitoka utaona nyuso zao zina furaha kweli kama vile wamefikishwa kwenye raha vile??

Tangu nianze kufuatilia comments zako haujawahi kuweka cha maana ni pumba tu. Haya mzee wa rambi rambi
 
Back
Top Bottom