Viongozi wa CHADEMA Iramba wakamatwa na polisi

"Katibu wa bavicha wilaya Rayman minja,"

Hiki chama kwa ukabila, mko juu!!

Tena walale polisi kabisa, wamezoea fujo sana hawa.
mkabila ni nani sasa wewe unayeangalia last name ya mtu na kuwahukumu badala vitendo na tabia ya mtu??
 
hivi kutetea haki zako wewe Masikini MSALANI na wajukuu zako imegeuka kuwa fujo ?

CHADEMA wanatetea haki zipi? Hebu nipe mfano, CHADEMA hakijawahi kutetea haki ya mtanzania wala hakitawahi kutetea haki ya mtanzania. Wale ni watu wa deal tu!
 
Naona wengi wanachangia hawajajua kosa lao. Mtoa hoja semeni kosa lao ni nini au ndo ubabe wa Polisi ya nchi hii!.

Muda huu mwigulu akisubiliwa kuhutubia hapa kiomboi,viongozi wa cdm wilaya wamekamatwa na green guard wakiwa na polisi,,,

Waliokamatwa ni katibu wa wilaya ndg Joseph Alfayo na Katibu wa bavicha wilaya Rayman minja
 
Kauli ya Kikwete imeishaanza kutumika na tutegemee mengi na mabaya zaidi ya haya lwa Viongozi, wanachama na Wafuasi wa CDM
 
siasa ccm ilishawashinda mda mrefu sana,hivi kuna tofauti gani katiya utawala huu wa JK kama rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na utawala wa dikteta IDD AMIN DADA?maana imeruhusiwa demokrasia ila chama chake na viongozi wake wanataka kuwaona watu wanaopinga nao kwa sera na hoja kama wahaini wa taifa?ICC ipo bado ngoja tusubiri tutajua mwisho wake
 
Hawa jamaa inabidi serikali iwajengee sero yao wenyewe.

Kwa nini wanapenda sana kwenda huko?

Kuna kitu gani wanaking'ang'ania huko? halafu wakitoka utaona nyuso zao zina furaha kweli kama vile wamefikishwa kwenye raha vile??
Zamani, enzi zilee, nilidhani mtu akienda Ulaya basi anakuwa na busara!!!
 
Muda huu mwigulu akisubiliwa kuhutubia hapa kiomboi,viongozi wa cdm wilaya wamekamatwa na green guard wakiwa na polisi,,,

Waliokamatwa ni katibu wa wilaya ndg Joseph Alfayo na Katibu wa bavicha wilaya Rayman minja

UPDATES
-Wameachiwa now

Halafu hivi huyu mwenye jina Rayman Minja si mchaga! Inamaana wilaya nzima wamekosekana watu wa huko akina Mkumbo, Msengi, Ntandu, Ighondu n.k, ambao wanaweza kukiongoza chama ili kionekane sio cha kila kabila. Nasema hivi msije mkanielewa mimi mkabila ila nawasaidia Chadema ili wasionekane wakabila kwa kuweka wachaga kila sehemu kama ambavyo ma ccm wanatumia udhaifu huu kuichana cdm.
Ni maoni tu lakini na mtazamo wangu
 
CCM hamuezi kufanya siasa mpaka mkamatekamate viongozi wa CHADEMA. Njooni tushindane kwa hoja. Kamatakamta hazita wasaidia. Tunakwenda chukua dola mwakani mpelampela mpaka kieleweke. Pumbacu zenu
 
Hawa jamaa inabidi serikali iwajengee sero yao wenyewe.

Kwa nini wanapenda sana kwenda huko?

Kuna kitu gani wanaking'ang'ania huko? halafu wakitoka utaona nyuso zao zina furaha kweli kama vile wamefikishwa kwenye raha vile??

Wewe sio ndiyo umekula rambirambi za Mjane wa Mwangosi?
 
Lazima walitaka kuleta fujo, Polisi nawashauri wahifadhini sero hao wahuni mpaka Mkutano wa Waziri Mwigulu upite.

eti mwigulu naye wazir....hahahaha atakuwa anaeleza ambavyo wataakikisha wizi Wa
bil zlizopotea hazirud na sera za fedha kuendlea kuruhusu foreign currency kutumika ili domestic currency iendlee kudidimia........dhaifuuuuuuuuuuuuu
 
Hawa jamaa inabidi serikali iwajengee sero yao wenyewe.

Kwa nini wanapenda sana kwenda huko?

Kuna kitu gani wanaking'ang'ania huko? halafu wakitoka utaona nyuso zao zina furaha kweli kama vile wamefikishwa kwenye raha vile??

mkuu kwani wamefanya kosa gani?
 
Back
Top Bottom