Viongozi wa CCM

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
998
363
Mimi ni kada wa chama lakini tatizo ambalo linawakuta viongozi wa CCM pamoja na Makada ni kushindwa kujibu maswali kwa hoja madhubuti hii ni kutokana na

1. Kulewa madalaka

2. Kupeana nafasi bila kuangalia uwezo binafsi wengi hubebwa na fedha za wazazi wao pamoja na majina ya Wazazi wao

3. Chama kushindwa kuwapa semina za kutosha hii ni kwa kuwa hakuna kiongozi makini na mwenye nia ya kukiendeleza chama

4. Kulizika kwa viongozi baada ya kuona wanapesa za kutosha na kumiliki state power ambazo zinawalinda kama polisi,mahakama na nk.

5. Kutokuwa na uzalendo na nchi hii ndo maana ubadhilifu wa fedha na kushindwa kwa viongozi wa CCM kujibu shustuma hizi za ufisadi mfano wa juzi kupaniki kwa Mwanasheria mkuu bungeni.

NITASEMA UKWELI UNAFIKI KWANGU MWIKO NITAISIMAMIA CCM POPOTE PALE.
 
Ukiwa unachangia tuache unafiki hata kama ni kada tuseme ukweli ili kukinusuru chama hapa kilipo
 
Chama hakiwezi tena kunusurika kama msemaji mkuu ni Nape nnauye na Naibu katibu Uchumi na fedha ni Jambazi na Gaidi
 
Tatizo kubwa la viongozi wa CCM ni #Unafiki ,,wote ni wanafiki!!Membe wiki zilizopita alisikika na wapambe wake walisikika wakimnadi kugombea uraisi,,bwana mdogo Makamba naye kafunguka kaweka nia yake wazi ya kugombea!Sijamsikia yeyote wanaojiita makada wakikemea!Sasa Lowasa kuandaa chakula kama kawaida yake kila mwaka na kuwaeleza kuwa ni ndugu yao akihitaji msaada wamsaidie,hiyo ni dhambi na ban kalamba!!Huu ni #Unafiki

CCM ni wanafiki ni wanafiki ni wanafiki!!Unakuta mtu kama AG anajua kabisa hela zimekwapuliwa na ni akina nani wamechukua,lakini yuko tayari hata apigane ngumi kutetea kuwa hakuna hela zilizokwapuliwa!!Huu ni #Unafiki

Utakuta mtu ni waziri wa Elimu anajua fika kuwa hakuna mitaala stahiki na utaratibu wa maswali ya kuchagua kwenye mitihani unadidimiza elimu pia utaratibu wa division five na six na seven unaua elimu yetu,lakini yuko tayari kuutetea eti ni utaratibu mzuri ni mzuri na mitaala ni mizuri ni mizuri,huu ni #Unafiki

Utakuta kiongozi anasema vijana wa Kitanzania hawana tatizo la ajira na huku anatambua fika matatizo ya ajira yaliyopo tena alishuhudia ajira za uhamiaji watahiniwa 10,050 nafasi 70 tu.Na tena alishihudia ajira za kwa Mwl Nyerere(ajira za Utumishi),watahiniwa 177 nafasi 3 tu!Huu ni #Unafiki ni unafik ni unafiki

Tena ni kiongozi mkubwa yuko bungeni siku zote lakini mbele ya waandishi wa habari anasema hajui kwa nini UKAWA walisusia bunge la katiba,,nasema huu ni #Unafiki ni unafiki ni unafiki!

Tena mtu anasema serikali ya CCM imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kabisa kuleta maisha mazuri/bora kwa Watanzania wote,wakati anajua fika,kila siku watu wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma,na wengine wanafia majumbani kwa kukosa hela za matibabu,huku bei ya unga na bei ya mchele ikipanda kila siku,wanafunzi wanakosa walimu wa kufundisha mashuleni,wengine wakikosa maeneo ya kusomea!Nasema ni #Unafiki ni unafiki ni unafiki
 
Ccm wana laana kibao hawawezi salimika,hata laana ya kuwalisha watu dawa feki kama za Arv yatosha kuwapoteza kunako ulingo wa siasa na kuizika ipumzike milele.
 
Mimi ni kada wa chama lakini tatizo ambalo linawakuta viongozi wa CCM pamoja na Makada ni kushindwa kujibu maswali kwa hoja madhubuti hii ni kutokana na

1. Kulewa madalaka

2. Kupeana nafasi bila kuangalia uwezo binafsi wengi hubebwa na fedha za wazazi wao pamoja na majina ya Wazazi wao

3. Chama kushindwa kuwapa semina za kutosha hii ni kwa kuwa hakuna kiongozi makini na mwenye nia ya kukiendeleza chama

4. Kulizika kwa viongozi baada ya kuona wanapesa za kutosha na kumiliki state power ambazo zinawalinda kama polisi,mahakama na nk.

5. Kutokuwa na uzalendo na nchi hii ndo maana ubadhilifu wa fedha na kushindwa kwa viongozi wa CCM kujibu shustuma hizi za ufisadi mfano wa juzi kupaniki kwa Mwanasheria mkuu bungeni.

NITASEMA UKWELI UNAFIKI KWANGU MWIKO NITAISIMAMIA CCM POPOTE PALE.

jina lenyewe sio la kisiasa ni watu wa fujo
 
tatizo lako ni kuandika ukweli utaishambuliwa sana na Matoto yaliyovimbiwa , umesema ukweli subiri matusi ya makada wenzako
 
Chama kimebaki cha matajiri kwa ajili ya kuua ndovu,alafu china ndio mteja wao Wa ndovu vile ile ndio mfadhili Wa chama chao.......lakini cha ajabu sasa wao wakikamata wachina Wa ndovu siku ya kwanza ndo wanatangazwa,baada ya hpo wanakuwa huru lakini china wao wanawafunga Wa madawa ya kulevya ila Wa ndovu Wa ccm hawafungwi,,chama cha uchuuzi
 
Mimi ni kada wa chama lakini tatizo ambalo linawakuta viongozi wa CCM pamoja na Makada ni kushindwa kujibu maswali kwa hoja madhubuti hii ni kutokana na

1. Kulewa madalaka

2. Kupeana nafasi bila kuangalia uwezo binafsi wengi hubebwa na fedha za wazazi wao pamoja na majina ya Wazazi wao

3. Chama kushindwa kuwapa semina za kutosha hii ni kwa kuwa hakuna kiongozi makini na mwenye nia ya kukiendeleza chama

4. Kulizika kwa viongozi baada ya kuona wanapesa za kutosha na kumiliki state power ambazo zinawalinda kama polisi,mahakama na nk.

5. Kutokuwa na uzalendo na nchi hii ndo maana ubadhilifu wa fedha na kushindwa kwa viongozi wa CCM kujibu shustuma hizi za ufisadi mfano wa juzi kupaniki kwa Mwanasheria mkuu bungeni.

NITASEMA UKWELI UNAFIKI KWANGU MWIKO NITAISIMAMIA CCM POPOTE PALE.
Umenena ukweli mtupu Mkuu. Siku zote msema kweli ni mpenzi wa MUNGU. WanaCCM wote wangelikuwa na mawazo na mitizamo kama yako, hakika CCM ingelikuwa imepiga hatua kubwa sana. Nakupa big up. Na wengine wajifunze toka kwako.
 
Back
Top Bottom