ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 998
- 363
Mimi ni kada wa chama lakini tatizo ambalo linawakuta viongozi wa CCM pamoja na Makada ni kushindwa kujibu maswali kwa hoja madhubuti hii ni kutokana na
1. Kulewa madalaka
2. Kupeana nafasi bila kuangalia uwezo binafsi wengi hubebwa na fedha za wazazi wao pamoja na majina ya Wazazi wao
3. Chama kushindwa kuwapa semina za kutosha hii ni kwa kuwa hakuna kiongozi makini na mwenye nia ya kukiendeleza chama
4. Kulizika kwa viongozi baada ya kuona wanapesa za kutosha na kumiliki state power ambazo zinawalinda kama polisi,mahakama na nk.
5. Kutokuwa na uzalendo na nchi hii ndo maana ubadhilifu wa fedha na kushindwa kwa viongozi wa CCM kujibu shustuma hizi za ufisadi mfano wa juzi kupaniki kwa Mwanasheria mkuu bungeni.
NITASEMA UKWELI UNAFIKI KWANGU MWIKO NITAISIMAMIA CCM POPOTE PALE.