ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF
Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane
Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano,
Mamelod ndo timu pekee Kwenye mashindano anacheza na mpinzani mchana wa jua kali saa 8 au saa 9, Mamelod hajawahi kucheza mechi ya CAF saa 10 na kuendelea
Kumbuka huu ugumu wa hali ya hewa ashauzoea na anafanya maksudi ili kuwapa wapinzani ugumu
Mamelod amekuwa akicheza kwa kuchagua viwanja na kupanga waaamuzi na waamuzi wanakuwa upande wake kwenye matukio
Tukumbuke jopo waamuzi walikataa goli la Yanga ambalo hata mwanangu darasa la 3 alitambua kuwa lile ni goli
Hii imechipua Kwa makamu wake Fouz Lekjaa ambaye ndo mmiliki wa RS Berkane alifanya figusi nyingi mechi ya Simba, Kwanza alikataa uwanja wa Mkapa pamoja na juhudi za serikali, TFF na Simba hawakufanikiwa
Pili alibadili muda wa mchezo ulikuwa ipigwe saa 1 usiku hadi saa 10, hayo yote ili kuipa upendeleo timu yake
Tuliona waamuzi walikuwa upande wa RS Berkane, yaani waliambiwa bingwa awe RS Berkane, mwamuzi alifanya kila mbinu ila RS Berkane wapate urahisi wa mchezo
Uchaguzi wa CAF ujao napendekeza Rais awe Samuel Eto'o