D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,919
- 1,094
Ama hakika raisi Leo umeongea jambo muhim kabisa la kuwataka BAKWATA wazitunze Mali za waislam hasa ardhi wanayomiliki. hili swala la ardhi na Mali za waislam kutumika hovyo ndilo lililopelekea shekhe PONDA na waislam baadhi kukaa ndani. Leo nimefurahi JPM umewaasa live bila chenga na umewaambia waache kudanganyika na wawekezaji wanaowadanganya na kuwapa ardhi.asante sana JPM