Viongozi wa AIG na wale wa Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa AIG na wale wa Afrika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by akili, Mar 18, 2009.

 1. a

  akili Member

  #1
  Mar 18, 2009
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAWA wote ngoma droo. Jamaa hudai chao mbele kwa mbele iwe kampuni au nchi inakwenda mbele, iko pale pale au inarudi nyuma potelea mbali.

  Basi jinsi Obama alivyowashikia bango viongozi Waafrika ambao hawana aibu kwa kupiga marufuku ombaomba mitaani kwao lakini wao wenyewe wanatembeza mabakuli dunia nzima.

  Wanashauriwa na watu kama kina Mo Ibrahim kuacha ombaomba lakini wakikutana na Mzungu kiwewe kinawashika na wanarudia tabia ile ile ya omba omba wa dunia. Je, kweli, viongozi wetu wanastahili kuendelea kuwa kina Matonya miaka hii jamani?
   
Loading...