Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,664 Feb 23, 2017 #21 Kabla hujaaanzisha Mada jaribu kutafuta kwanza fact
Jimmy George JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 1,733 Reaction score 1,650 Feb 23, 2017 #22 andjul said: Huyo mama ni rais wa zamani wa Malawi Joyce Hilda Banda,alimtembelea bibi asie jiweza kijijini kwake Click to expand... Mkuu uko sahihi mtoa post nadhani alipoona picha hakuweza kujua maelezo yake sahihi
andjul said: Huyo mama ni rais wa zamani wa Malawi Joyce Hilda Banda,alimtembelea bibi asie jiweza kijijini kwake Click to expand... Mkuu uko sahihi mtoa post nadhani alipoona picha hakuweza kujua maelezo yake sahihi
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,927 Reaction score 15,984 Feb 23, 2017 #23 Joyce Banda akimsalimia Vasco Da Gama
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Feb 23, 2017 Thread starter #24 Alipokwenda kwa Queen Elizabeth alisujudu kabusa.
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,407 Reaction score 121,759 Feb 23, 2017 #25 kampelewele said: Best si kweli angalia hapa: Forbes ranks Joyce Banda most powerful woman in Africa: Malawi leader moves 24 places in world ranking - Malawi Nyasa Times - Malawi breaking news in Malawi Click to expand... Ahsante mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa. Tunatakiwa tuwe tunajiridhisha kabla ya kuileta mada lengwa hapa.
kampelewele said: Best si kweli angalia hapa: Forbes ranks Joyce Banda most powerful woman in Africa: Malawi leader moves 24 places in world ranking - Malawi Nyasa Times - Malawi breaking news in Malawi Click to expand... Ahsante mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa. Tunatakiwa tuwe tunajiridhisha kabla ya kuileta mada lengwa hapa.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,415 Reaction score 9,302 Feb 23, 2017 #26 siamini na sitaamini kamwe.