Viongozi wa afrika wanatia aibu au

Viongozi wa afrika wanatia aibu au

augustino ameri

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
267
Reaction score
57
Mwaka 2011 machafuko ya LIBYA walikuwa kimya walipoona NATO inaingilia wakaanza kuitana na kutoa matamko.2013 baada ya kuona UFARANSA Imechukua jukumu na kupeleka jeshi kusaidia serikali wameanza kuitana eti kuongeza wanajesh!MUDA WOTE MLIKUWA WAPI?
 
Back
Top Bottom