Arafat Bahdellah
Member
- Jan 15, 2013
- 77
- 28
Nashangazwa sana na ukimya wa viongozi wa Afrika juu ya Serikali ya Uganda kuwekewa vikwazo na wamagharibi kwa kukataa ushoga nchini mwao,
Ninavyojua; viongozi wa Afrika wanamsimamo mmoja katika hili isipokuwa kwa baadhi ya nchi chache tu kama Mawali ambazo zimekubali baada ya kutishwa.
Kinachonishangaza; kwanini viongozi wa Afrika wanakuwa kimya kumuona mwenzao ambae anashikilia msimamo wao, anasulubiwa na wao midomo yao iko kimya!
Ukimya huu tusijeshangaa zamu ya nchi yetu itafikia kuwekewa vikwazo na nchi nyingine zikakaa kimya, hadi wote tutakubali kwa kushinikizwa au tufe na mawazo ya umasikini.
Hivi kwanini viongozi watu ni kama mfupa kwa fisi?