Viongozi wa ACT watolewa "nduki" Jukwaani

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,594
Reaction score
611
BUKOMBE- Viongozi wa ACT-WAZALENDO, Wametolewa "Nduki" Jukwaani na Wananchi baada ya kutuhumiwa kuwa ni Vibaraka wa CCM.

Tukio hilo limetokea juzi kwenye Mkutano wa hadhara ulioitishwa na Viongozi wa Chama hicho katika uwanja wa Kilimahewa Mkoani Geita.

Chanzo Mwananchi tokeo la leo,Ukurasa wa 31.
==================

 
Pole sana Magesa Kalale maana usiku kucha umekuwa ukimuwaza zito
 
Mavijana ya Bavicha yanafujo sana. Kwahiyo wakaamua kushusha mtu jukwaani!
 
Magesa atakufa kwa pressure ya kumhofu zzk mwaka huu.

Unamjua Diva yule Dada wa Cloud? Unajua kiss cha yeye kutoku.hofu ZZK na Kumtema pamoja na ukwasi alionao? Taarifa toka kwa rafiki zake ni kuwa alichoshwa kuna kijana msomi na kwenye uwezo akiweka mambo ya kishirikina kama sehemu ya maisha yake. Usiku wenzie wanalala yeye na madogoli tuu, mtoto wa watu yakamshinda
 
Hivi CHADEMA ikitwaa DOLA kuna chama chochote cha siasa KITAFANYA MIKUTANO ?
 
Mmemjaribu mkashindwa nini?Maana nadhani alikuwa THE NEXT CHACHA WANGWE.
 
Mimi nashauri wawe wanawaTOA Jukwaani CCM wenyewe,WASIWAONEE Hawa Watoto wao.

CCM wako sahihi kwani wanatetea wanachoamini. Ila hawa walaghai na wachawi wakubwa ndio wa kukataa maa maana ni vibaraka
 
Mavijana ya Bavicha yanafujo sana. Kwahiyo wakaamua kushusha mtu jukwaani!
Hahahahaaaa nimecheka nilipoisoma hii habari...maana wanainchi wa Bukombe waliwaambia ACT waache kuendelea na mkutano wanataka kuanagalia mashindano tya BAISKELI!!!:closed_2::closed_2::closed_2::closed_2:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…