Viongozi wa ACT watolewa "nduki" Jukwaani

CHADEMA Wanashindwa kabisa kwa sababu ya ZZK bado mta kaa macho sana ndo kwanza ameanza kazi,ACT-WAZALENDO PAMOJA.
 
Jamani mimi nishachoka na huu usaliti mnaoutangaza kila siku naomba mnijibu hapa. CUF na NCCR kwa sasa nao sio CCM B maana hata nao waliitwa wasaliti leo kiko wapi kama mtatujibu hapa basi tutaamini kweli ACT nao ni wasaliti vinginevyo ni porojo tu. Nasubiria jibu.
 
CDM ni mke mdogo wa CUF na CCM ndo bimkubwa, CUF wenyewe Waliberali unategemea nini chadema kujifungua nao ndani? Hiyo mimba ya Waliberali ndio imewakalia vibaya maana hawalali usiku wala mchana wanamuwaza mume wao wa zamani Zitto
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mimi nawataka hapa hao chadema waje waliekezee hili limekaaje vinginevyo wao ndio wasaliti kwa wananchi maana leo ili kesho vile.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom