Viongozi mbio za Mwenge,msijipe majukumu msiyoyajua!

Viongozi mbio za Mwenge,msijipe majukumu msiyoyajua!

"Sululu Compression Test" bado natafuta Units zake
Let say ukitaka kupima thickness ya Kokoto, kifusi ama material nyingine yoyote iliyotumika kujenga barabara kwa mujibu wa BOQ, hufanyi Drilling??? Je kuna njia ngapi za kufanya drilling ili upate vipimo sahihi? Naomba kuelimishwa wadau maaana naona tumewasimanga sana hao makamanda na ktk real fact lazma yupo Injinia Miongoni mwao. Tutiririke walipaswa kufanya nini kupata thikckness
 
Viongozi wa siku hizi wanajiona wakiwa wakali ndio unakuwa kiongozi mzuri
 
Umemsahau na yule mkuu wa mkoa wa Bahi alionya mchanga wa Uranium akawaambia hauna madhara huu unaweza ata kula kabisa. Yaani hata radioactivity haijui ni kitu gani

Hii ni bongo nyoso
Acha bhasi mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji2]
 
mmesahau mkulu kipindi ni waziri wa ujenzi alikuwa anapima barabara na nyundo
 
View attachment 1144874
Its intellectually dishonest kwa mtu kujidai unafahamu kila kitu alimradi kuteuliwa kukimbiza mwenge.

Huyu kada anayepima ubora wa barabara kwa kuipiga sululu kimsingi anaonyesha ujuha wa kile asichokijua.

Wakimbiza mwenge inabidi waambiwe kile wanachitakiwa kufanya, la sivyo wameshaonyesha kuwa ni vichekesho.

Mi nikajua anachimba madini!!!!
 
Hivi ukiwa mkimbiza mwenge hauwezi tumbuliwa?
 
Hizo huwa ni planned activitries ili kumfurahisha mkubwa, hivyo haziwezi kuachwa
 
Nakumbuka rubani mmoja alikataa kurusha ndege eti kwa sababu Fire Extinguisher ilikuwa haijafanyiwa service muda mrefu.
 
Aisee, kazi ipo, hapo utakuta standard seven lakini anajifanya injinia wa barabara ,mkuru akiona ivyo lazima ampe UDC

Ukiteuliwa nafasi yeyote na serikali hii elewa immediately kuwa heshima uliyokuwa nayo kabla ya uteuzi itakuwa imepungua.
 
Ina maana hadi sasa wizara ya miundombinu haina vifaa vya kisasa kujua rate of performance ya kazi na quality.Shida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom